kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,363
- 16,092
Na huyo ngedere anafanya nini hapo?
Habitat yao siyo Afrika Mashariki hivyo hawana njia ya asili ya kuwa control, mfano kuwa na preditor au season inayowazuia wasizaliane.
Hawa wanatakiwa kuuliwa wote, kwa miaka zaidi ya 30 sasa wamezaliana sana, mpaka wamefuka Tabora huko.
Wenyewe wanasema ni dua la kuku tu, na kamwe halimpati mwewe.Kuna mtu kazidi kushupaza shingo, sipati picha itakavyovunjika kama kama kijiti kikavu.
Wanaharibu ecosystem au huelewi ecology? Kuna species watapotea kwasababu ya hao kunguru.kwa nini uwaue, kwa logic hiyo pia unaweza kusema pia irani, wahindi na waarabu wote tanzagiza wauliwe kwa kuwa habitat yao siyo afrika?
kama binadamu kushindwa na ndege ni jambo la ajabu sana na linasema mengi khs intelligence zetu tanzagiza, yaani ndege akushinde kumcontrol sasa utaweza nini? unaweza kuunda spacecraft au semiconductor chips kweli kama ndege kunguru anakushinda kum-control? ...
Ila yakiwafika tukianza kuserebuka wasituone wabaya maana kuimba kupokezana.Wenyewe wanasema ni dua la kuku tu, na kamwe halimpati mwewe.
Wanaharibu ecosystem au huelewi ecology?
Na ngedere akojeWahenga walishafanya mengi wakapitia mengi, wakajifunza mengi na hatimaye wakapata uzoefu mkubwa kwenye changamoto walizokutana nazo!
Mojawapo walilokutana nalo ni kwenye ufugaji wa wanyama mbalimbali
Imagine wanasema hata mnyama hayawahi kabisa kama fisi anafugika lakini si kunguru
Kunguru ni mbishi
Kunguru ana kiburi
Kunguru ni mjuaji
Kunguru Ana dharau pia
Ila hana maarifa pia japo anajiona ana akili sana.. Ni mwepesi kushawishika hata katika mambo ya kijinga kabisa..
Cha kuchekesha sasa pamoja na yote hayo lakini ni mwoga sana na anaweza kukimbia hata kivuli chake mwenyewe.. Na ndio maana kuna usemi unasema kunguru mwoga hukimbia/hukimbiza bawa lake mwenyewe
Mwingine ni kenge.. Kenge pia ana kiburi sana na si msikivu kabisa! Hapokei wala hakubali maonyo yoyote mpaka limkute jambo.. Kutokana na tabia zake hizo ndio wahenga wakaja na usemi usemao.. Kenge hasikii mpaka damu itoke masikioni.. Yaani apigwe apigike!
Maisha ni maonyo na tahadhari.. Wenye kuonya huwa na sababu kamili ya kufanya hivyo.. Waliopokea maonyo waliepuka madhila mengi, aibu nyingi na tabu nyingi
Kwa mwoga kulienda kicheko kwa shujaa kulienda kilio
Mafunuo ya hafrey hayakuzingatiwa...!View attachment 3436492
Oscar KambonaChristopher Kasanga Tumbo
Hiyo siyo Natura habitat yao, kwao ni India. Sisi kunguru wetu wanadoa jeupe kifuani.nimeshakuelezea jinsi intelligent binadamu anavyoweza kuliondoa hilo tatizo la uharibifu ili kuweza kuishi na kunguru bila ya kuleta uharibifu wowote ule i mean, karne ya 21 binadamu kutaka kufanya total extermination ya kamnyama kandege kadogo ambako hata kilo 2kg hakafikii inastaajabisha sana.
unaweza kufanya population control ya kunguru kirahisi kabisa bila za kufanya mass killings ya kandege ...
Umeshawahi chunga mbuzi meee????Anafugika Ila hatulii kama mbuzi mee
Na huku umeganda kwenye TV yako ukimfuatilia😆Nimechungulia live anavoenda kuchukua form wananchi NI kama wako msibani Sura zao hazina nuru kabisa
Endelea kudanganya kwa chuki zako binafsi. Wale kunguru wapo na wataendelea kuwepo muda ambao hii nchi ya kusadikika itaendelea kuwepo. Siku ikibadilika watarudi kwao kama ambavyo wengine wanaotokea upande wa Magharibi nao watarudi kwao kwasababu kila mmoja ana kwao.Waliletwa na Mwinyi Zanzibar ili kuondoa uchafu, wakazaliana sana, wengine wakafika Dar. Waliongezeka kwenda Morogoro, Dodoma mpaka Tabora.
Anahutubia muda wote kachoka, kama analifanyia Taifa la maana vile, msimtumie mnamuaribu bureTuliosoma Guatemala tumekujua