Chamoto
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 9,856
- 22,189
Mara hii Chura amegeuka Kunguru?Kunguru ni mbishi
Kunguru ana kiburi
Kunguru ni mjuaji
Kunguru Ana dharau pia
Mara hii Chura amegeuka Kunguru?Kunguru ni mbishi
Kunguru ana kiburi
Kunguru ni mjuaji
Kunguru Ana dharau pia
Hivi hawa Kunguru wa India aliowaleta mwinyi Zanzibar, kwa nini hakuna mkakati wa kuwauwa? Wameharibu sana ecosystem ya ndege wetu asili.kunguru ndiyo moja kati ya ndege/wanyama intelligent klk wote duniani ukiondoa binadamu, sema tanzagiza hakuna meritocracy hivyo watu hawathamini intelligence na ndio maana intelligence ya kunguru inaonkekana kama ni kero badala ya kuwa jambo la kustaajabisha na kujifunzia, unaweza kufanya na kujifunza mengi sana kutoka kwa kunguru kama binadamu ...
Mwaka Hulu patasemwa sana ila sijui itakuwaje ikitokea kuwa kinyume na yanayosemwa. Hao wahenga pia walisema "waache waseme, wakichoka watalala". Ndo maana kunguru akawa hafugiki. Nikumbushe tu, kunguru huyo anasema "binadamu si mwema", hivyo huwa hamsogelei bali anamkimbia.Wahenga walishafanya mengi wakapitia mengi, wakajifunza mengi na hatimaye wakapata uzoefu mkubwa kwenye changamoto walizokutana nazo!
Mojawapo walilokutana nalo ni kwenye ufugaji wa wanyama mbalimbali
Imagine wanasema hata mnyama hayawahi kabisa kama fisi anafugika lakini si kunguru
Kunguru ni mbishi
Kunguru ana kiburi
Kunguru ni mjuaji
Kunguru Ana dharau pia
Ila hana maarifa pia japo anajiona ana akili sana.. Ni mwepesi kushawishika hata katika mambo ya kijinga kabisa..
Cha kuchekesha sasa pamoja na yote hayo lakini ni mwoga sana na anaweza kukimbia hata kivuli chake mwenyewe.. Na ndio maana kuna usemi unasema kunguru mwoga hukimbia/hukimbiza bawa lake mwenyewe
Mwingine ni kenge.. Kenge pia ana kiburi sana na si msikivu kabisa! Hapokei wala hakubali maonyo yoyote mpaka limkute jambo.. Kutokana na tabia zake hizo ndio wahenga wakaja na usemi usemao.. Kenge hasikii mpaka damu itoke masikioni.. Yaani apigwe apigike!
Maisha ni maonyo na tahadhari.. Wenye kuonya huwa na sababu kamili ya kufanya hivyo.. Waliopokea maonyo waliepuka madhila mengi, aibu nyingi na tabu nyingi
Kwa mwoga kulienda kicheko kwa shujaa kulienda kilio
Mafunuo ya hafrey hayakuzingatiwa...!View attachment 3436492
Hivi hawa Kunguru wa India aliowaleta mwinyi Zanzibar, kwa nini hakuna mkakati wa kuwauwa? Wameharibu sana ecosystem ya ndege wetu asili.
Mwinyi hahusiki na kuleta kunguru. Huenda umesahau au unajitia hamnazo. Mhusika ni yule MABIBO kutoka Mabibo ya Tangawizi.Hivi hawa Kunguru wa India aliowaleta mwinyi Zanzibar, kwa nini hakuna mkakati wa kuwauwa? Wameharibu sana ecosystem ya ndege wetu asili.
Fuatilia yanayoendelea Tume ya UchaguziDada mmoja alikuwa anajinasibu kufanya kazi bank.. Kumbe ni mfagizi kwenye kampuni iliyopewa tenda ya usafi😂
Mwaka Hulu patasemwa sana ila sijui itakuwaje ikitokea kuwa kinyume na yanayosemwa. Hao wahenga pia walisema "waache waseme, wakichoka watalala". Ndo maana kunguru akawa hafugiki. Nikumbushe tu, kunguru huyo anasema "binadamu si mwema", hivyo huwa hamsogelei bali anamkimbia.
Habitat yao siyo Afrika Mashariki hivyo hawana njia ya asili ya kuwa control, mfano kuwa na preditor au season inayowazuia wasizaliane.kwa nini kuwauwa? ndiyo hapo unaona kwamba tanzagiza hakuna intelligence au hatufwati meritocracy labda niseme hivyo, hakuna haja za kuwauwa bali unaweza tu kufanya population control ya kunguru kwa mfano unaweza kujaribu kupunguza idadi yao, na hilo ni rahisi sana kulifanya, unaondoa mayai yao kwenye viota vyao, wakitaga tu unayaondoa hivyo hawataweza kutamia jambo litakalopelekea population yao kupungua hadi idadi ambayo ni stahili, hivyo unaweza au binadamu anaweza kuamua ni kunguru wangapi waishi ambao hawataleta usumbufu.
tanzagiza kila kitu ni ubabe tu kama porini masokwe wanavyoishi, aliyekuzidi miguvu na mkubwa kukuliko anakupiga na kuchukua ulichonacho, jiulize kwa nini mwanajeshi anapiga raia au kuwarusha kichura? ni kwa sababu tu kawazidi nguvu na ukubwa wa mwili, ubabe ...
Bahati mbaya upande wa pili, kwa wale haters, hakuna mwenye uwezo wa kuwaza hivi.......wao ni kuwaza ushetani tu.kunguru ndiyo moja kati ya ndege/wanyama intelligent klk wote duniani ukiondoa binadamu, sema tanzagiza hakuna meritocracy hivyo watu hawathamini intelligence na ndio maana intelligence ya kunguru inaonkekana kama ni kero badala ya kuwa jambo la kustaajabisha na kujifunzia, unaweza kufanya na kujifunza mengi sana kutoka kwa kunguru kama binadamu ...
Nje ya Mada: Ni kweli asiyefunzwa na mamaye huvunjika guu?
View attachment 3436537
Kwakweli kilio kitaenda, huko kwa polepole na nyumbu wake aliowavuna kutoka chadema.Kwa mwoga kulienda kichekoo kwa shujaa kulienda kiliooo
Waliletwa na Mwinyi Zanzibar ili kuondoa uchafu, wakazaliana sana, wengine wakafika Dar. Waliongezeka kwenda Morogoro, Dodoma mpaka Tabora.Mwinyi hahusiki na kuleta kunguru. Huenda umesahau au unajitia hamnazo. Mhusika ni yule MABIBO kutoka Mabibo ya Tangawizi.