K KAMBAKO Member Joined Dec 18, 2011 Posts 11 Reaction score 0 Mar 19, 2012 #1 Nilikuwa zanzibar pale bububu nikaletewa kungu. Nikauliza za nini? "zalegeza macho ya akina dada ati". Nikauliza, "sasa nikila mie," "utalegeza ya kwako ati"
Nilikuwa zanzibar pale bububu nikaletewa kungu. Nikauliza za nini? "zalegeza macho ya akina dada ati". Nikauliza, "sasa nikila mie," "utalegeza ya kwako ati"
DAWA YA SIKIO JF-Expert Member Joined Dec 8, 2011 Posts 978 Reaction score 184 Mar 20, 2012 #2 Ikawaje ?! Ulikula?!