Kundi la weusi

Kundi la weusi

Ukiwataja ma Concious eMcee Please usimwek ''BONTA''

Nikki Mbishi !

Nikki Mbishi nae anamdis Bonta sio consious. Je, yeye ni consious? Kwa mistari kama "The Great hawezi kufa kwa kusukuma na Lulu"? Jamaa anafurahisha sana
 
Hivi mbona Bonta huwa anatokea marachache sana kwenye nyimbo Weusi?Mara ya mwisho nimemsikia kwenye 'Watoto Wa Mungu',au wamemtema?
 
jamaa ni daktari hana mda kabisa alitaka kuacha mziki sema mzuka umemrudisha
 
Hivi mbona Bonta huwa anatokea marachache sana kwenye nyimbo Weusi?Mara ya mwisho nimemsikia kwenye 'Watoto Wa Mungu',au wamemtema?

Yuko busy na kazi siunajua ajira za serikalini. Ila kasomea mambo ya afya na sio udaktari.
 
Weusi.jpg

Yupi coz katikati wapo wawili.
 
Mzumbe hakuna Medicine Doctor ila kasomea mambo ya afya

Alipata diploma ya MD mtwara sikumbuki chuo alafu akapangiwa kazi Kahama kama sijakosea, baadae ndo akaenda mzumbe kusomea degree ya Public Health kamaliza mwaka juzi
 
Last edited by a moderator:
Mafanikio Ndo Yap Walio Nayo Awa Wasani Bwana Wakisha Julikana Tu Kidogo Utasikia Kampun Ndo Nin Manake .
Mafanikio Haya Tajwi Yana Kionyesha Yenyewe Haya We Una Andika Mafanikio Ya Kasi Sana Yapi Sasa But Haina Haja We Wasaport Tu Kimzki Yao Apo Sawa,
Kwa 7babu We Utasema Ivo Akat Mamake Arusha Anakufa Na Njaa Maanake Nini?

Sikiliza wewe pang'ang'a ..!!
Ungekuwa unawajua Weusi walipoanza walipo na wanapoelekea usingekuwa unabwabwaja pasipo kutumia IQ uliopewa buuuure Na Mungu ..
Kwanza nakubaliana kabisa tena Kwa asilimia 200 jamaa wanamafanikio kibao kutokana Na msimamo wao mzuri wakustick Na music wa Hip Hop..!!
Mafanikio walio nayo kwanza kabisa jamaa wanatengenezaga music mzuri..!!
Pili wanafans wakutosha au Kwa lugha nyepesi wanamashabiki lukuki xpecialy apa nchini kwetu Tanzania Na wewe mwenyewe ni shahidi Mmoja wapo Kwa hili ..!!
Mm siimbi Wala sichani ila ni Mweusi Damu..!
Kunatofauti Kubwa sana Kati msanii Joh makini Na Diamond japo wote wanafanya huu music wa Bongo..!!
Mcheki Joh huwezi ukamkuta Na scandal ambazo anazo Diamond..!!
Joh sio Shonga..
Joh anaDem lakini huwezi kuta Wala kusikia akianika mambo yake personally Kwa mtandao zaidi ya movement zake ZA kimusic..!!
Joh ni moja Kati ya selebrateee lakini hana ulimbukeni wa U-Ster walio nao baadhi ya wasanii wetu hapa bongo..
Joh is
Verry simple guy
Anajiheshimu Na ndivyo hivyo Kwa Bonta Na Nikki wa pili ..!!
Kama huamini uliza wakazi wa Arusha ..!!
Kwa swala la Lord Mimi huamini kwamba Yale huwa ni mambo yake personally nikiwa Na maana kwamba unaweza sio kila Mtu anaweza kuwa Parfect Kwa kila anachokifanya..!!
Kwasababu kila Mweusi ametokea kwenye mazongira yake Na anatabia zake..!!
Ikitokea Nikki kafanya Kama Nikki hayo yatakuwa mambo yake personally Na sio Weusi ..!!
Kwakumalizia Mimi naomba Mungu awabariki Weusi ..!!
Nawatizama baada ya miaka miwili ijayo..!!
Nawaona Weusi wakiwa level ingine sana sana sana tu cz maisha ni hatua..!
Unapiga hatua moja 2 etc ndio unafika unapopataka..!!
Hata Kama mama analala njaa pale Arusha haijalishi as long as ndio unaandaa mazingira ya maisha mazuri baadae..!!
Joh hayuko Kama alivokuwa miaka miwili ilioisha..!!
Viburi Flow ndio kabisa
 
Hahaha....inaonekana jamaa akipenda anapenda kweli. Kwenye ngoma ya Joh Makini inaitwa ulimwengu wa wapenda nao kuna mstari ameandika " My self nina makovu kibao moyoni mwangu/ achilia mbali visa vya washkaji na marafiki/ moja kati ya kituko kilicho heat ni hiki, Nikki alipotaka kujitoa uhai kisa Vicky". Hapo kwenye Nikki kutaka kujitoa uhai kisa vicky ndo huwa natamanigi watangazaji wamuulize ilikuaje aisee.

Bonge moja la wimbo huo
"KIPENDA ROHO HUZUA MSALA,UNAKUTANA NA DEMU MKALI LAKINI ANATEMBEA NA ----"
 
Sikiliza wewe pang'ang'a ..!!
Ungekuwa unawajua Weusi walipoanza walipo na wanapoelekea usingekuwa unabwabwaja pasipo kutumia IQ uliopewa buuuure Na Mungu ..
Kwanza nakubaliana kabisa tena Kwa asilimia 200 jamaa wanamafanikio kibao kutokana Na msimamo wao mzuri wakustick Na music wa Hip Hop..!!
Mafanikio walio nayo kwanza kabisa jamaa wanatengenezaga music mzuri..!!
Pili wanafans wakutosha au Kwa lugha nyepesi wanamashabiki lukuki xpecialy apa nchini kwetu Tanzania Na wewe mwenyewe ni shahidi Mmoja wapo Kwa hili ..!!
Mm siimbi Wala sichani ila ni Mweusi Damu..!
Kunatofauti Kubwa sana Kati msanii Joh makini Na Diamond japo wote wanafanya huu music wa Bongo..!!
Mcheki Joh huwezi ukamkuta Na scandal ambazo anazo Diamond..!!
Joh sio Shonga..
Joh anaDem lakini huwezi kuta Wala kusikia akianika mambo yake personally Kwa mtandao zaidi ya movement zake ZA kimusic..!!
Joh ni moja Kati ya selebrateee lakini hana ulimbukeni wa U-Ster walio nao baadhi ya wasanii wetu hapa bongo..
Joh is
Verry simple guy
Anajiheshimu Na ndivyo hivyo Kwa Bonta Na Nikki wa pili ..!!
Kama huamini uliza wakazi wa Arusha ..!!
Kwa swala la Lord Mimi huamini kwamba Yale huwa ni mambo yake personally nikiwa Na maana kwamba unaweza sio kila Mtu anaweza kuwa Parfect Kwa kila anachokifanya..!!
Kwasababu kila Mweusi ametokea kwenye mazongira yake Na anatabia zake..!!
Ikitokea Nikki kafanya Kama Nikki hayo yatakuwa mambo yake personally Na sio Weusi ..!!
Kwakumalizia Mimi naomba Mungu awabariki Weusi ..!!
Nawatizama baada ya miaka miwili ijayo..!!
Nawaona Weusi wakiwa level ingine sana sana sana tu cz maisha ni hatua..!
Unapiga hatua moja 2 etc ndio unafika unapopataka..!!
Hata Kama mama analala njaa pale Arusha haijalishi as long as ndio unaandaa mazingira ya maisha mazuri baadae..!!
Joh hayuko Kama alivokuwa miaka miwili ilioisha..!!
Viburi Flow ndio kabisa

Nimesoma bandiko lako lote sijaona mahali ulipotaja hayo mafanikio, bali umeelezea chuki zako kwa Diamond Platnumz wa "WCB".

Taja mafanikio, kutokuwa na skendo siyo mafanikio.
 
Hahaha
Ivi unajua maana ya mafanikio Kweli wewe...!!??
Uwezi pata mafanikio bila kupitia hayo niliyokueleza..!!
Ivi unamjua Joh wa MWANA elfu mbili Na Joh wasasa..!!
Huoni tofauti kwani..!?
Kweli wewe umevishwa Miwani ya Gere...!!
 
Angalia video ya hao na video ya Nje ya box, kuna utafauti mkubwa sana wa Joh wa wakati ule na wa sasa. Alafu jamaa hajui kuwa Weusi hawana zile za kuonyesha sijui gari mara nyumba kama Domo wako
 
Hahaha
Ivi unajua maana ya mafanikio Kweli wewe...!!??
Uwezi pata mafanikio bila kupitia hayo niliyokueleza..!!
Ivi unamjua Joh wa MWANA elfu mbili Na Joh wasasa..!!
Huoni tofauti kwani..!?
Kweli wewe umevishwa Miwani ya Gere...!!

Of course Joh Makini wa zamani alikuwa anachana kigumu, sio saa hizi anaimba kama amekula mrenda, these days anaimba hip hop laini sana.

Nimeona umefanya ulinganifu wa kutokuwa na skendo kama vile hayo ndiyo mafanikio, hizo ni style za maisha. Huwezi kuniambia eti kwa Vile Diamond ana skendo nyingi basi hajafanikiwa kama Joh Makini kimuziki.

Nilitegemea utaje vitu ambavyo ni substance na sio imagination za atakuwa wapi some days, labda useme kwa mtazamo wako anaelekea kuwa na mafanikio ambayo nayo ni probability!

Sioni kipya kilichoongezeka kwa Joh Makini akiwa solo na sasa akiwa kwenye kundi la Weusi.
 
Jamani kwetu lunduno huniambii chochote
 
'...mchaka mchaka nakimbiza kila upande,simtumikii kafiri ili chati yangu ipande...............sio mimi huyo ni a.k.a MTI MKAVU ni napita tu nduki '
 
Last edited by a moderator:
Alipata diploma ya MD mtwara sikumbuki chuo alafu akapangiwa kazi Kahama kama sijakosea, baadae ndo akaenda mzumbe kusomea degree ya Public Health kamaliza mwaka juzi

Kinaitwa Cotc ila mzumbe ndo kasomea hiyo public health sio udokta.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom