Kundi la weusi

Kundi la weusi

ngoma ni kali ila kila nikimsikiliza joh makini halafu nikija kumsikikiliza ace hood kwenye hustle hurd remix nakuwa sielew
 
"Wivu ni kidonda umeshiriki ugua polee"
Joh ananikosha sana,by the way asante mtengwa kwa kuanzisha uzi huu,tusiishie tu kuwasifia,Weusi wako wanawania tuzo ya kili kwenye category ya kundi bora la muziki wa kizazi kipya kama sijakosea,just go to kili website help them to grab that award,wapigieni kura.
 
Last edited by a moderator:
Leo nimepishana na Lordeyes maeneo ya St. James Parish.......Naona alikuwa anaelekea Shivas.....Kapiga Trouser imeandikwa Nyeusi..
 
"Wivu ni kidonda umeshiriki ugua polee"
Joh ananikosha sana,by the way asante mtengwa kwa kuanzisha uzi huu,tusiishie tu kuwasifia,Weusi wako wanawania tuzo ya kili kwenye category ya kundi bora la muziki wa kizazi kipya kama sijakosea,just go to kili website help them to grab that award,wapigieni kura.
Hong25 ni kama ulinimention vile
 
Last edited by a moderator:
Kundi bora la Hip Hop ! Ni Tamaduni Muzik !

Na Ujuzi wao haupimwi kwa Tuzo za Pombe !

VITENDO ZIDI YA MANENO !

Na fake concious emcee ''Bonta''
 
hata video zao mpya nje ya box na Gere ni za kimataifa..

:A S confused::A S confused::A S confused::A S confused::A S confused::A S confused::A S confused::A S confused::A S confused::A S confused::A S confused::A S confused:
 
"Wivu ni kidonda umeshiriki ugua polee"
Joh ananikosha sana,by the way asante mtengwa kwa kuanzisha uzi huu,tusiishie tu kuwasifia,Weusi wako wanawania tuzo ya kili kwenye category ya kundi bora la muziki wa kizazi kipya kama sijakosea,just go to kili website help them to grab that award,wapigieni kura.

Kweli kabisa tusupport washkaji maana wana fanya mziki mzuri, kazi ni kwetu kuwapigia kura
 
Last edited by a moderator:
basi nae atakuwa poa tu

Hahaha....inaonekana jamaa akipenda anapenda kweli. Kwenye ngoma ya Joh Makini inaitwa ulimwengu wa wapenda nao kuna mstari ameandika " My self nina makovu kibao moyoni mwangu/ achilia mbali visa vya washkaji na marafiki/ moja kati ya kituko kilicho heat ni hiki, Nikki alipotaka kujitoa uhai kisa Vicky". Hapo kwenye Nikki kutaka kujitoa uhai kisa vicky ndo huwa natamanigi watangazaji wamuulize ilikuaje aisee.
 
Kundi bora la Hip Hop ! Ni Tamaduni Muzik !

Na Ujuzi wao haupimwi kwa Tuzo za Pombe !

VITENDO ZIDI YA MANENO !

Na fake concious emcee ''Bonta''

Unaposema mimi sio Concious mtaani watu Booooooooo
"Sio mimi,Bonta huyoo"
 
Kundi bora la Hip Hop ! Ni Tamaduni Muzik !

Na Ujuzi wao haupimwi kwa Tuzo za Pombe !

VITENDO ZIDI YA MANENO !

Na fake concious emcee ''Bonta''

When come to good music hua na prefer WEUSI tracks than Tamaduni Muzik. Ila siku nikiwa na mzuka wa kusikia mistari konde na kucheza na maneno ndo nakuja kuwasikiliza kina Songa, Nikki Mbishi, One, Sterio, KadGo, Balozi wa Gheto, P the Mc, Azma n.k.
 
Nnachopenda Tamaduni Muzik ! Pale pana mistari ya Aina tofauti Tofauti !

Na ile ni Kama Familia Nguzo zote Za hip Hop zipo pale !
 
I prefer Tamaduni coz kuna wakali wengi kuliko weusi... Hapo ni Gnako na Nikki may be na Joh ndo wabeba kundi tho Bonta ndo ana mistar mikali ila hana nyota.
 
Back
Top Bottom