Of course Joh Makini wa zamani alikuwa anachana kigumu, sio saa hizi anaimba kama amekula mrenda, these days anaimba hip hop laini sana.
Nimeona umefanya ulinganifu wa kutokuwa na skendo kama vile hayo ndiyo mafanikio, hizo ni style za maisha. Huwezi kuniambia eti kwa Vile Diamond ana skendo nyingi basi hajafanikiwa kama Joh Makini kimuziki.
Nilitegemea utaje vitu ambavyo ni substance na sio imagination za atakuwa wapi some days, labda useme kwa mtazamo wako anaelekea kuwa na mafanikio ambayo nayo ni probability!
Sioni kipya kilichoongezeka kwa Joh Makini akiwa solo na sasa akiwa kwenye kundi la Weusi.
WEUSI - GERE
Yeah!
You know whats happening when
Weuse meets Nahreel, right?
Oyayoo...ooohoo
A city in the house!
Oyayoo...ooohoo
Lets go!!
[Gnako]
Kama unachukia vaa miwani usione
gere...gere!
Kama unachukia vaa miwani usione
gere...gere!
Weusi hatuna...kwere!
You just go...gere!
Weusi hatuna...kwere!
You just go...gere!
[Joh Makini]
Kubadili hizi mboga mbili tu tabu
kwa mswahili
Mganga hana mashairi jomba ni
bure kupiga ramli
Flow Weusi ni mbele, kanzu tobo ka
Pele
Mboyoyo mingi kelele, kamata tupa
kule
Wajukuu wa Nyerere, chuki zako ni
bure
Kiunoni ni sime njele, juu sipendi
kelele
Mavumba ni baba Fere, Temeke
huita michele
Karibu gheto ni sherehe, Weusi
hatuna kwere
Nina kibali juu ya mdundo huu so
sina sorry
Sinyasori wapi Shaa sina story
Wivu ni kidonda umeshiriki ugua
pole
Chakati juu kiki...woo woo!...pole
pole
[Gnako]
Kama unachukia vaa miwani usione
gere...gere!
Kama unachukia vaa miwani usione
gere...gere!
Weusi hatuna...kwere!
You just go...gere!
Weusi hatuna...kwere!
You just go...gere!
Kama unachukia vaa miwani usione
gere...gere!
Kama unachukia vaa miwani usione
gere...gere!
Weusi hatuna...kwere!
You just go...gere!
Weusi hatuna...kwere!
You just go...gere!
[Nikki Wa Pili]
Sio gweraa hii jombaa Nikki yule
yule
Nilivyovaa, nilivyong'aa ni kimulimuli
Viburi flow Idd Amin like nduli
nduli
Brain kubwa, ndoto kubwa za
manguli nguli
Watoto nao ni kibao siku hizi sipigi
puli
Usijikombe chonde chonde na
makonde bure
Punguza njaa lia ubao jomba kaza
msuli
Kwenye hela ndo watoto wanatulia
tuli
Benchi mnasugulia ha..hamna
carrier
Ah! mziki kama mbege kwangu suna
kulia
Ah! Yesu na Maria! Ah! Ndo
tunatulia
Ndo nguna inaliwa, imebarikiwa
Get it?
[Gnako]
Kama unachukia vaa miwani usione
gere...gere!
Kama unachukia vaa miwani usione
gere...gere!
Weusi hatuna...kwere!
You just go...gere!
Weusi hatuna...kwere!
You just go...gere!
Kama unachukia vaa miwani usione
gere...gere!
Kama unachukia vaa miwani usione
gere...gere!
Weusi hatuna...kwere!
You just go...gere!
Weusi hatuna...kwere!
You just go...gere!
[Gnako]
Kimbiza kimbiza...Usain Bolt
Tupo center ya mchezo...centre bolt
Hatuna penda love, Weusi mtu tano
Center half no beef..no..no..no!
Tulifanya ndafu, mchezo unatupa
bread
Mda wa chai ujuzi unasambaza
umbea
Mkuda hakai, hatuongei ongei
Tunafanya hatufanyi fanyi, tunafanya
kazi
Mungu hakupi roho mbaya
Sshh! Umeipandikiza
Kichwa chako passport, uwezo wako
ndo Visa
Aaah! Tuna viburi eeh? Tuna flow
vizuriii
[Gnako]
Kama unachukia vaa miwani usione
gere...gere!
Kama unachukia vaa miwani usione
gere...gere!
Weusi hatuna...kwere!
You just go...gere!
Weusi hatuna...kwere!
You just go...gere!
Kama unachukia vaa miwani usione
gere...gere!
Kama unachukia vaa miwani usione
gere...gere!
...kwere!
...gere!
...kwere!
...gere!
[Outro]
*kinanda kinanyongwaaaa*