Kundi la Simba last season timu zote zimetolewa, je simba nao kufuata mkumbo huo leo?

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
56,607
93,389
Hebu tujionee wenyewe.
 
Attachments

  • FB_IMG_1696137047823.jpg
    FB_IMG_1696137047823.jpg
    52.2 KB · Views: 2
Unaahiriki vipi bila kupata nafasi? Si vibonde hao?

Au mmesahau timu zilizokutana na Yanga kwenye msimamo wa ligi zao kama walikuwa chini mliwaita vibonde?

Sasa msubiri leo kuungana na vibonde wenzenu, ni swala la muda tu

Unaahiriki vipi bila kupata nafasi? Si vibonde hao?

Au mmesahau timu zilizokutana na Yanga kwenye msimamo wa ligi zao kama walikuwa chini mliwaita vibonde?

Sasa msubiri leo kuungana na vibonde wenzenu, ni swala la muda tu.
Dk unanipa mashaka sio siri!!!
 
Back
Top Bottom