Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,757
👍👍Inamaana hawa mabwege kuchukua bandari na kua karibu na tz...nafkiri main goal ni huku kwetu..na bandari ni strategic area ili kupata vifaa na war supplies kwa muda muafaka....na kujiita sijui alshabab Naona ni chaka la kujifichia ili wakristo na waisilamu watengane,....halafu ndo wakinukishe...huu mtego wa kutenganishwa ili tuingiliwe tuwe nao makini....na Naona intelligence yetu imetimia maana maangalizo yalitoka mapema uko mpakani..hivo wapumbavu hawa wakija wapigwe tu........na kiongozi yeyote msaliti anaetumiwa na hao wa nje ili kuleta vurugu nchini kuliwa kichwa ni halali.