Ni kweli.Hakuna kitu kigum kusafirisha kama silaha za kivita pia kuzitumia sio rahisi kwa mtu ambaye hana mafunzo!!
Pia sio pesa kidogo! risasi zenyewe tu sio pesa kidogo!
Yani kama umeshindwa kunisoma kwa utaratibu na kuelewa mengine utayaweza kweli?Na uwarabuni je , uwe unawaza Kwa kutumia kichwa mda mwengine, hao wanajiita sio kama waislam wamejipachika jina lengo kualibu uislam hata Mimi naweza nikajiita mfuasi wa Kristo lakini nikafanya mambo tofauti na aliyokua anayofanya au anayokataza Kristo sasa ukisema msumbiji wamefamiwa na hao wanaojiita IS sababu wengi wakristo vipi kuhusu huko uwarabuni ?
Wanaichafua imani ya kiislamu "Marekani" haya unaweza kutueleza kwanini wanaichafua na matokeo chanya watakayoyapata au wanayoyapata kutokana na huo uchafuzi?Huu ni mpango wa marekan wanatumia neno uisilam lengo kuchafua dini hii na kwakua ujinga huu ulianzia uarabuni Kwa kupora mafuta ndio akatumia Imani za watu ili afike malengo yake na kuchafua uislam
Hiyo haiwezi kuwa sababu!Tuna safari ndefu sana kuwa na watu wenye mawazo kama yako!
Kwa tarifa yako hapo tukitia mguu tunakula vikwazo visivyo julikana!
Ulianza na ninatakiwa kupimwa akili nikakuuliza nani amekudanganya kuna kipimo cha akili umekwea mnazi, sasa umekuja kwenye akili ndogo!Mkuu ndio maana nimesema ww akili yako ni ndogo,
Silaa = Silaha.yaani unani unaomba udhibitisho wa yakwamba kama waasi hao wana silaa?
Hufahamu hata suti na hoods zinatumika kudangia? Kumtumia dada yangu hapa ni dharau na upumbavu dada yangu mimi anaweza kuwa bibi yako au zaidi ya bibi yako kwa umri wako! (Naufahamu)Kwahiyo hivyo vita wanavyo pigana na serikali kiasi cha kuishinda nguvu wanatumia madera ya kudangia ya dada yako kupigana hivyo vita au?
Kulishinda nguvu jeshi ni kitu cha kawaida sana lakini swali ni kwa muda gani utaweza kuulinda ushindi wako?Hivi jeshi la serikali unaweza kulishinda bila ya silaa nzito na kali au una dhani kuishinda serikali ni lelemama. Hivi utamilikije wapiganaji bila kuwalipa, kuwalisha na kuwatibu?.
na Syria au Libya nako majority ni christians??
Kumbuka Msumbiji population yake kubwa ni Wakristo, inamifumo Kristo n.k na hili jambo limetokea na litaendelea kutokea kwa sababu ambayo si uwingi wa Wakristo msumbiji
Huwa nacheka sana napoona vitu kama hivi.jiulizeee kwa nn hizii vuruguu daima zinatokea maeneo yenye resources muhimuuui??
Jaribu kufikiriaa nje ya upofu wa udini utaelewaaa
Mkuu ndio maana nimesema ww akili yako ni ndogo, yaani unani unaomba udhibitisho wa yakwamba kama waasi hao wana silaa?
Kwahiyo hivyo vita wanavyo pigana na serikali kiasi cha kuishinda nguvu wanatumia madera ya kudangia ya dada yako kupigana hivyo vita au?
Hivi jeshi la serikali unaweza kulishinda bila ya silaa nzito na kali au una dhani kuishinda serikali ni lelemama. Hivi utamilikije wapiganaji bila kuwalipa, kuwalisha na kuwatibu?.
Ni kijana wetu huyu mkuu tumvumilie.Silaa ndio nini mkuu?
Ivi ukiambiwa haya saini uende uanja wa mapambano utaenda au unasema tuu!Ni wale wale, na wangechekewa basi leo hali ingekuwa kama ya Msumbiji. Serikali inapo wadhibiti siasa kali kama wale Mashehe wa Uamsho wengi wanashindwa kuelewa kuwa vile ndiyo chanzo cha hii hatari na madhara yake ndio haya. Wale jamaa wana pesa na wanaweza mshawishi mtu yeyote kujiunga nao.
Tatizo la Msumbiji wao kwa wao hawaelewani, wana Ukabila, wana Waasi wa Renamo. Hawazungumzi lugha moja. Wanaishi kiujima ujima, hawana mahusiano mazuri na majirani zao. Ni wabinafsi na wanajiona sana na wanajifanya ni Wareno. Wanawadharau raia wa nchi nyingine hasa Waafrika wenzao. Nk.
Wacha wajifunze kuheshimu majirani.
Kama hao Magaidi watapenyeza huku TZ tunaomba Serikali itangaze kujitolea kupigana nao, huku mtaani tuko mgambo wengi sana sana, na tuna hamu ya kuwashikisha Adabu hao vibaraka.
Tuta watwanga hata kwa marungu. Kama Bunduki tutazinunua wenyewe.
Kwanini nisiende...!Ivi ukiambiwa haya saini uende uanja wa mapambano utaenda au unasema tuu!
Heshima yenu wakuu
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza kikundi cha wapiganaji huko Mozambique ktk mkoa wa CABO DELGADO wamefanikiwa kuiteka wilaya kubwa ya MSIMBOA DA PRAIA!
wameua mamia ya wakazi kwa kuchunja na baadhi ya wanajeshi hvyo mji huo mpka sasa hauna Raia yoyote na sasa washaichukua bandari ya wilaya hiyo!hli si nzuri ukizingatia wilaya hiyo ni KM chache mpka Mtwara !!wakimbizi wengi kutoka hiyo wilaya washakimbilia mtwara pia!!
Ni kweli kabisa, nakumbuka pale kibiti tungezembea basi na sisi tungekua katika wakati mbaya sana, maana polisi walikua wanaelekea kuzidiwa. Ndipo vijana wetu shupavu wa Jwtz walipoingia pale, ulifanyika msako wa nyumba kwa nyumba, chumba kwa chumba, kitanda kwa kitanda, kichaka kwa kichaka, kila kilichofunikwa kilifunuliwa, yatosha kusema ya kwamba walichokipata wale WAPUMBAVU hawatakisahau maishani mwao, ndipo baada yakuona chakufia nini! Baadhi yao waliofanikiwa wakatoroka.Hawa jamaa serikali ya Msumbiji imewalea sana tangu mwanzo..na haya ndio matokeo yake!
Yes sasa hivi kuna articles kibao ziko wazi kuzungumzia hiyo nchi,na walivyofanya. Watu baadaye walikuja kuuana mpaka leo kuna anti balaka na anti seleka . Anti Balaka ni wakristu, Anti Seleka ni waislam ni mgambo lakin msemaji wa Kundi na viongozi wachache ndio walikua waislam tena nadhani wengine ni majina walijipachika. The world is so complex. Africa ina vibaraka wengi na wasalitiMkuu haya uliyoandika hapa yana ukweli?...πππ...
Hawawakilishi Waislam wote, japo Kuna wajinga watawaunga mkono hapa TzKama mnasema ni udini mjiulize Is wakivamia Tanzania waislam tutakua upande IS au Tanzania?
Aisee tuache kujisifu tu kuwa tuliwathibiti serikai inabidi iwe macho hawa watu wanazidi kupata nguvu throughout Africa
Hiyo Siri anayo mpaka Leo Mwigulu Nchemba siku akija kubanwa pumbu atakuja kusemaYale yale ya MKIRU! Mkuranga, Kibiti na Rufiji
Naliaminia jeshi langu katika intaregenceSiku nyingi mbona na mpaka ushafungwa hivi tunaongea kuna kambi kubwa mpakani mwa Tz na Msumbiji jamaa wameshajipanga mudaa watuguse tunuke tu nahisi tangu Feb au January mwaka huu
Ivi izi nyazifa za kuteua na kutengua wanazingatia Siri za nchi wanapokuwa katika utendaji wakitenguliwa ?Hiyo Siri anayo mpaka Leo Mwigulu Nchemba siku akija kubanwa pumbu atakuja kusema