Kundi la Hamad Rashid Lasambaratika warejea CUF

Kundi la Hamad Rashid Lasambaratika warejea CUF

mkigoma

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Posts
1,180
Reaction score
309
ni mkutano unaoendelea katika viwanja vya mwembe yanga huku aliyekuwa mjumbe wa baraza kuu aliyefukuzwa mwenyekiti wa mbeya mjini yasini mrotwa ameomba radhi mkutanoni na wameahidi kwenda kuomba kuondoa kesi waliyoifungua dhidi ya cuf, huku aliyekuwa mkurugenzi wa CUF Hamisi iddi katuga aliyekwenda CCM akirejae CUF.
 
umetumwa na mtatiro au maalim seif upime upepo hapa? lazima uelewa chama siyo mtu bali taasisi.
 
Haaa haaaaa haaaaaaa!!!!! Kama mtu uliwahi kusikia maneno haya KIDHUNGU; Political Tourism ndio kma hivo kwa HR na kampuni yake ya ADC.
 
Njaa mbaya, wameamua kurudi kutokana na njaa.
 
ni mkutano unaoendelea katika viwanja vya mwembe yanga huku aliyekuwa mjumbe wa baraza kuu aliyefukuzwa mwenyekiti wa mbeya mjini yasini mrotwa ameomba radhi mkutanoni na wameahidi kwenda kuomba kuondoa kesi waliyoifungua dhidi ya cuf, huku aliyekuwa mkurugenzi wa CUF Hamisi iddi katuga aliyekwenda CCM akirejae CUF.

kundi? mtu? huyu hajafukuzwa alipewa onyo tu kama chambo na alishajulikana siku nyingi kama ni mchumia tumbo.....njaa ndio inamuuma. kwny bold umeanza na "A" then ukaja na "WAmeahidi"......Yeye na nani?
 
Huo ni ukomavu wa KISIASA, hongereni, Rudini mkakijenge CHAMA.
 
Back
Top Bottom