wakuu..habari zenu naombeni msaada wenu tafadhali
which is the best processor between core i5 and 2.20GHZ dual?
mnh kaka hapo ni kama umeuliza kipi bora toyota au 100km kwa saa?
i5 ni jina la processor na 2.2ghz ni speed ya processor hivyo i5 inaweza kuwa 1.6ghz, 2ghz, 3ghz nk.
hebu angalia tena source zako urudi