umwa na babake si alisema anakipenda inabidi clauds wawa sue periodPaul Makonda kama Kuli kuwa na ulazima kipindi kirushwe siku ile ile, si ungepeleka flash tbc kwenye TV ya Taifa ? Nini kung'ang'ania stesheni ya wenzako?
walikula mlungula ili wamurekodie kipindi warush e , wakashindwa kutimiza akawafata leo wanatupigia keleleleeee ngoja wakomeMda sio mrefu clouds imepotea gafla baada ya mtangazaji mussa hasan kusema kuwa kuna ugeni wa kamati ya bunge....... hapo ndipo matangazo yakapotea
Nimeisikia hiyo statement. Ndio kampa kichwa kabisa Mr '0'. Hapo mjiandae kuhama mji.Mkuu hapangiwi
Dareslam n ya makonda
Kma ilivyo kwa arsene Wenger na arsenal yake
Ndio imeshakufa... Mshahara wa dhambi ni mauti.!
Mkata umemeAsije kuwa mwenye silaa kafanya yake
Nisaidie link mkuuFungua online inapatikana
http://onlineapptv.one/Downloads/Online TV.apkNisaidie link mkuu