Kunani nyumbani kwa general mboma jamani??

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,918
Reaction score
38,244
Waheshimiwa sisi ni majirani wa mh aliekuwa mbunge mtarajiwa wa mbeya
kama si chaguo za ccm;
mh general wetu ana nyumba nzuri na ukumbi mkubwa tu kwa heshima ya mwenyezi mungu naomba nimponge kwa hili ;anastahili
tatizo lilipo ndani kwa mzee kuna makontena si haba chini ya matano ukipita;
cha ajabu kila ukipita usiku saa nne /tano unakuta malori ya makontena ft 48 yanaingia yanawaga mzigo yanaondoka;ukipita siku zinazofwwatia unakuta kontena nyingine ft 48 zinapandisha mzigo;kunani humo ndani jamani
iweje mizigo inabebwa na kushushwa usiku pekee;mchana kunnani??
 
au wabebaji mizigo wanaona usiku tu??
 
Isijekuwa ndiyo ile biashara ya Kongo (DRC) si unajua wazuri na wabaya ni haohao?
Inatisha kama watu wakubwa kama hao kufanya biashara usiku, kunani?
 
Waheshimiwa sisi ni majirani wa mh aliekuwa mbunge mtarajiwa wa mbeya
kama si chaguo za ccm;
mh general wetu ana nyumba nzuri na ukumbi mkubwa tu kwa heshima ya mwenyezi mungu naomba nimponge kwa hili ;anastahili
tatizo lilipo ndani kwa mzee kuna makontena si haba chini ya matano ukipita;
cha ajabu kila ukipita usiku saa nne /tano unakuta malori ya makontena ft 48 yanaingia yanawaga mzigo yanaondoka;ukipita siku zinazofwwatia unakuta kontena nyingine ft 48 zinapandisha mzigo;kunani humo ndani jamani
iweje mizigo inabebwa na kushushwa usiku pekee;mchana kunnani??

Mwanahalisi inaelekea wewe ni mzushi tu!
Hakuna kontena la futi 48 duniani, ungekuwa makini ungesoma namba za magari yaliyoleta makontena hayo.
Kuwa makini na habari za kuhadithiwa!!!
 
muheshimiwa,kuwa na uhakika na dunia uliyopo labda zungumzia mjiuliopo, container size ni 20ft,40ft, 45ft,48ft,na 53ft.hivyo ndo viwango vinavyotumika.sasa zungumzia mji wako usikanushe jambo ki dunia kama hulijui.
 
Mwanahalisi,
Itabidi uwe jasusi wetu. Penyeza huku uani kwa muishimiwa utuarifu uliyoyaona.
 
Waheshimiwa sisi ni majirani wa mh aliekuwa mbunge mtarajiwa wa mbeya
kama si chaguo za ccm;
mh general wetu ana nyumba nzuri na ukumbi mkubwa tu kwa heshima ya mwenyezi mungu naomba nimponge kwa hili ;anastahili
tatizo lilipo ndani kwa mzee kuna makontena si haba chini ya matano ukipita;
cha ajabu kila ukipita usiku saa nne /tano unakuta malori ya makontena ft 48 yanaingia yanawaga mzigo yanaondoka;ukipita siku zinazofwwatia unakuta kontena nyingine ft 48 zinapandisha mzigo;kunani humo ndani jamani
iweje mizigo inabebwa na kushushwa usiku pekee;mchana kunnani??
Kuna sheria magari ya kuanzia 40ft containes lazima ya fanye loading na off load usiku tuu, kuepusha usumbufu mchana, kama zilivyo comvoy ya magari zaidi ya 5, lazima yaanze safari usiku.
 
Back
Top Bottom