Kunani mbona ndugu zetu wa kihindi hawaonekani katika umati unaomuaga Magufuli?

Status
Not open for further replies.
Twende taratibu Comrade punguza munkari.
 
071 ya mzee wa MIGA imetepeta huko kwa mabeberu.
 
Kama ulikua na cheti feki ulitaraji ufanyweje?..ulipewa kila ulichostahili wala usijifiche kwenye migongo ya wengine na hadithi za bunuasi za watu kuokotwa kwenye viroba bila kuwa na ushahidi,,,tulikua tunafurahia vile mifumo ya unyonyaji, upigaji, ujanja ujanja ilivosambaratishwa
 
Usituletee ubaguzi..
 
Nafikiri lazma tuelewe na tukubaliane, si wote watakwenda kuaga mwili.

Kuna namna nyingi ya kushiriki ktk msiba, mbali na kwenda kuaga mwili;

1. Wengine wanasubiri maziko,

2. wengine wanakwenda kusaini kitabu cha rambi rambi/ maombolezo

3. Wengine watafanya maombi maalumu ya kumuombea marehemu kwa imani yao.

4. Wengine wanajitokeza uwanjani barabarani kupunga mikono na kuuga mwili.

5. Wengine wanatuma salamu za rambi rambi.


Bila kujali rangi ama awe Muhindi, Mswahili, Msukuma n.k yoyote atakayefanya lolote kati ya hayo na mengineyo atakuwa ameshiriki kwa namna yake....
 
 
Yule aliyekuwa anaomba dua Shanti shanti shantii ni mmatumbi? MO vipi ni mnyaturu wa Singida yule eenh?
 

Una uhakika? mbona Zanzibar wengi wamemuhaga na njian walijipanga
 
wanatuibiaje? hizi ndio concept zinafanya wana siasa watuone wapumbavu.
hawa watu wamewekeza nchini kisheria, wanalipa kodi, wameajiri watanzania wengine?

halaf unasema wanatuibia how?
khaaa mbona unamuuliza mwenzio maswali magumu Hivyo...asije akaleft JF
 
Uwanja wa Uhuru walikuwepo na Jumatatu wengi walifunga maduka bila shuruti
 
Wahindi wanaogopa kolona sana
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…