Kunani mbona ndugu zetu wa kihindi hawaonekani katika umati unaomuaga Magufuli?

Status
Not open for further replies.
Sasa hivi usipomuona mtu yeyote kwenye msiba hata kama huo msiba una muhusu usishangae.Sasa hivi kuna mambo mengi sana na yanakwenda kwa kasi sana.Ukiamka mzima asubuhi,mshukuru Mungu kwa zawadi ya uhai!
 
Wahindi sio misukule..Wanajitambua ndio maana wanashikilia uchumi wa TZ

Ni nchi ya watu wasiojitambua tu ndio unakuta maiti inazungushwa wiki nzima ili kuonyesha eti marehemu alikua anapendwa
Wameumizwa sana hao pamoja walizidi kupiga dili but pia nadhani jamii yao no nyepesi sana kukamata kale kauginjwa wakipata huwa wanapukutika sana.
 
Aisee...
Huo mzoga uliowekwa wiki nzima bila taarifa si uzikwe tu, tumalizane na hizi nyuzi za kipuuzi
 
Baba yenu sijui uzee sijui macho yangu. Katika pita pita yangu sioni ndugu zetu wa kihindi wakimuaga jemadari shujaa wetu John Pombe Magufuli kama wanyonge au kwa vile wao si wanyonge. Si Dar, Zenj na sasa Mwanza, sioni ndugu hawa wanaosifika kufaidi uchumi wa nchi yetu japo si kwa sana kipindi hiki cha Magufuli.
Kwani kuaga maiti ya yeyote ni lazima? Mimi siyo Mahindi wala Msukuma lakini nikisikia maiti ya Magufuli inapita Mtaani kwangu, nitajificha uvunguni mpaka balaa lipite lisije likafufuka hata kwa dakika moja likanichukua nilisindikize kama wale 5 wa familia moja kule Dar. To sup with the Devil you need a long spoon!
 
Sijui babu zako walitoka wapi. Kama walitoka bara (kama wakazi wengi wa Dar es Salaam wa leo), basi Wahindi walitangulia. Wajerumani walipofika Bagamoyo, waliwakuta Wahindi kati ya wenyeji wengine. Sewa Haji alijitolea kujenga hospitali ya kwanza ya dar es Salaam, chanzo cha Muhimbili.
Bwana, anza kujifunza na kujisomea kidogo kabla ya kutema ubaguzi!
Hiyo Karimjee Hall ilijengwa na familia ya Karimjee Jivanjee Wakulima wa Mkonge na biashara zingine. Sewa Haji alijenga Hospitali kubwa na kuipa jina lake karibu na Railway Station baadaye 'mabeberu' waliihamishia ilipo Muhimbili sasa na kuitwa Princess Margret kwa Heshima ya mdogo wake Malkia aliyeifungua.
 
Ungekua na undugu na Ben Saanane, Azory, Akwilina, wale makumi walio okotwa maiti kwenye viroba, watumishi walio toa nguvu zao kwa miaka 30 kumtumikia jamii na kufukuzwa bila kulipwa mafao yao walio katwa kisa vyeti hewa nk ungejua kua huo mzoga wenu ulipaswa kutupwa mtoni baada ya kucharazwa bakora
kama baba yko na mama yko wakianza kwanza kutupwa baharini na kucharazwa nadhani itakuwa mfano mzuri wa kuigwa
 
Wewe ni mhindi nini? Unajua walivyoletwa na muingereza kufanya kazi hiyo hadi wakajikusanyia utajiri ukiachia mbali rushwa na wizi.
i dont care waliletwa na upepo au maji. kama wanatimiza malengo yao kama wakaz wa nchi hii.. wengine wamezaliwa hapa.. wengine si raia wako kwa vibali.
wanalipa kodi, wanatii sheria za nchi na taratibu zake .. shida ikowapi?
oh ni waiz.. wala rushwa.. mahakama zetu zinafanya kazi gani? fungueni kesi.

sorry. mm si muhindi. ila kama serikali ingeona hawafahi ingewafukuza muda mrefu.

hatuishi kwenye history.tuko kwenye future now
 
Baba yenu sijui uzee sijui macho yangu. Katika pita pita yangu sioni ndugu zetu wa kihindi wakimuaga jemadari shujaa wetu John Pombe Magufuli kama wanyonge au kwa vile wao si wanyonge. Si Dar, Zenj na sasa Mwanza, sioni ndugu hawa wanaosifika kufaidi uchumi wa nchi yetu japo si kwa sana kipindi hiki cha Magufuli.
Hao ndugu zetu Wahindi ni waumini wa kweli wa dini zao. Kama kwa mujibu wa dini zao mtu akifa ni kuzikwa na sio kumtazama marehemu, hao watazama marehemu waachwe watazame marehemu na ambao sio watazama marehemu hawatazami marehemu. Nadhani sii Wahindi pekee, hata Wasabato na Walokole wa ukweli wanafuata mafundisho ya kweli ya Bwana wetu Yesu Kristo, alisema "Waacheni wafu wawazike wafu wao".

P
 
Kwa jinsi alivyowapiga hela kwa lazima wana hamu naye , wamebakia tu omshanti shanti shanti parakataratatttatrarrpraaattt shantiiiiiiiii sijui ndio wana mlaani mi hata sielewi
kama hueliewi siungeuliza rather than making a mockery of prayer? kwa taarifa yako walichosema hawa ni Mashehe na walichosema ni maombi kwa Mungu wakiombea RIP. Hii ni dua zinazo somewa kwenye mazishi zote za wahindi.
Labda nikuilze wewe binfasi kama una dini, je unafahamu maombi zinazosomewa neno kwa neno kwenye misiba?
WHY THE RACISM!!??
 
Hawakumwamini aliposema kuwa hakuna corona Tanzania. Wanajua mikusanyiko hueneza corona. Wana akili na wanazitumia. Na hata sisi weusi wenye akili hata kwa bunduki kwenye hayo maombolezo ya kujaza maelfu ya watu, hauwezi kutuona.
Baba yenu sijui uzee sijui macho yangu. Katika pita pita yangu sioni ndugu zetu wa kihindi wakimuaga jemadari shujaa wetu John Pombe Magufuli kama wanyonge au kwa vile wao si wanyonge. Si Dar, Zenj na sasa Mwanza, sioni ndugu hawa wanaosifika kufaidi uchumi wa nchi yetu japo si kwa sana kipindi hiki cha Magufuli.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom