Kunani mbona ndugu zetu wa kihindi hawaonekani katika umati unaomuaga Magufuli?

Status
Not open for further replies.
Natamani ingekuwa maiti yako na ukoo wako wote ingefurahisha. Hao siyo mazezeta kama wewe baba yako mama yako na ukoo mzima mwanangu. Umeniudhi kiasi cha mwenembago kupanda nikatukana. Umefanya nitamani Mtikila aka Tikila afufuke na kuendeleza injili yake ya magabacholi.
Twende taratibu Comrade punguza munkari.
 
Baba yenu sijui uzee sijui macho yangu. Katika pita pita yangu sioni ndugu zetu wa kihindi wakimuaga jemadari shujaa wetu John Pombe Magufuli kama wanyonge au kwa vile wao si wanyonge. Si Dar, Zenj na sasa Mwanza, sioni ndugu hawa wanaosifika kufaidi uchumi wa nchi yetu japo si kwa sana kipindi hiki cha Magufuli.
071 ya mzee wa MIGA imetepeta huko kwa mabeberu.
IMG_20210321_162343.jpg
 
Ungekua na undugu na Ben Saanane, Azory, Akwilina, wale makumi walio okotwa maiti kwenye viroba, watumishi walio toa nguvu zao kwa miaka 30 kumtumikia jamii na kufukuzwa bila kulipwa mafao yao walio katwa kisa vyeti hewa nk ungejua kua huo mzoga wenu ulipaswa kutupwa mtoni baada ya kucharazwa bakora
Kama ulikua na cheti feki ulitaraji ufanyweje?..ulipewa kila ulichostahili wala usijifiche kwenye migongo ya wengine na hadithi za bunuasi za watu kuokotwa kwenye viroba bila kuwa na ushahidi,,,tulikua tunafurahia vile mifumo ya unyonyaji, upigaji, ujanja ujanja ilivosambaratishwa
 
Baba yenu sijui uzee sijui macho yangu. Katika pita pita yangu sioni ndugu zetu wa kihindi wakimuaga jemadari shujaa wetu John Pombe Magufuli kama wanyonge au kwa vile wao si wanyonge. Si Dar, Zenj na sasa Mwanza, sioni ndugu hawa wanaosifika kufaidi uchumi wa nchi yetu japo si kwa sana kipindi hiki cha Magufuli.
Usituletee ubaguzi..
 
Nafikiri lazma tuelewe na tukubaliane, si wote watakwenda kuaga mwili.

Kuna namna nyingi ya kushiriki ktk msiba, mbali na kwenda kuaga mwili;

1. Wengine wanasubiri maziko,

2. wengine wanakwenda kusaini kitabu cha rambi rambi/ maombolezo

3. Wengine watafanya maombi maalumu ya kumuombea marehemu kwa imani yao.

4. Wengine wanajitokeza uwanjani barabarani kupunga mikono na kuuga mwili.

5. Wengine wanatuma salamu za rambi rambi.

Bila kujali rangi ama awe Muhindi, Mswahili, Msukuma n.k yoyote atakayefanya lolote kati ya hayo na mengineyo atakuwa ameshiriki kwa namna yake....
 
Inaelekea wewe ni miongoni wa watu wanaowachukia wahindi na pia kuwaonea wivu kwa maendeleo yao! Aidha wewe ni mbaguzi wa kutupwa nyuma ya kivuli cha uzalendo! Kwani kati ya makabila yote zaidi ya 120 nchini ulikuwa unafuatilia mahudhurio yao?
Why pick on Indians? Upuuzi mtupu! Wewe umehudhuria misiba mingapi ya wahindi? Halafu kwani msiba wa Magufuli una ajabu gani hadi watu wote washangae? Halafu unasema wanafaidi uchumi wa nchi yenu, wewe na nani? Mchango gani ulitoa katika uumbaji wa nchi hii?

Hii dunia ni yetu sote!
 
Yule aliyekuwa anaomba dua Shanti shanti shantii ni mmatumbi? MO vipi ni mnyaturu wa Singida yule eenh?
 
Baba yenu sijui uzee sijui macho yangu. Katika pita pita yangu sioni ndugu zetu wa kihindi wakimuaga jemadari shujaa wetu John Pombe Magufuli kama wanyonge au kwa vile wao si wanyonge. Si Dar, Zenj na sasa Mwanza, sioni ndugu hawa wanaosifika kufaidi uchumi wa nchi yetu japo si kwa sana kipindi hiki cha Magufuli.

Una uhakika? mbona Zanzibar wengi wamemuhaga na njian walijipanga
 
wanatuibiaje? hizi ndio concept zinafanya wana siasa watuone wapumbavu.
hawa watu wamewekeza nchini kisheria, wanalipa kodi, wameajiri watanzania wengine?

halaf unasema wanatuibia how?
khaaa mbona unamuuliza mwenzio maswali magumu Hivyo...asije akaleft JF
 
Uwanja wa Uhuru walikuwepo na Jumatatu wengi walifunga maduka bila shuruti
 
Baba yenu sijui uzee sijui macho yangu. Katika pita pita yangu sioni ndugu zetu wa kihindi wakimuaga jemadari shujaa wetu John Pombe Magufuli kama wanyonge au kwa vile wao si wanyonge. Si Dar, Zenj na sasa Mwanza, sioni ndugu hawa wanaosifika kufaidi uchumi wa nchi yetu japo si kwa sana kipindi hiki cha Magufuli.
Wahindi wanaogopa kolona sana
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom