Mtu mbalimbali
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 1,011
- 1,999
Natamani nikuamini ππRelax, ni jambo la kawaida kwa mifumo ya tovuti kama JF kufuta cookies au session za watumiaji baada ya muda fulani au baada ya security patch kufanyika.
Mtag Mello mwenyewe Mkuu aje akuhakikishie nilicho kwambia.Natamani nikuamini ππ
Hapa tupe madini zaidi mkuuusipende kutuma picha hasa uliyo screenshot
Hili nalo nilakuzingatiwaCha muhimu usipende kufungua links zinazotumwa na watu humu JF, usipende kutuma videos au picha uliyopiga kwa simu yako au uliyo screenshot, na usipende kuingia DM za watu. Ukifanya hayo mtu yeyote aweza kukuHack.
Otherwise JF ni sehemu salama sana yenye kutunza na kuficha faragha za watumiaji wake
Nimeelezea changamoto yangu mkuuKwa lipi ulilokua nalo na wewe hebu tupishe huko, mnaishi kwa kujihisi hisi hadi mnaboa.
Hata Mimi,nilishangaa, kidogo niiache!Natamani nikuamini ππ