donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,139
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Kuna vitu vina sura mbaya ajabu Lakini...[emoji39][emoji39][emoji39][emoji23].. Halafu havina mbele wala nyuma kila position vinaonekana vilevile[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]View attachment 2138752
Umejuajeee[emoji23]Mtu wa watu kajilalia zake kitandani kifudifudi kaamua kunyanyua kimguu kimoja juu..ila pazia Lina kiherehere sasa
Nikilala kifudifudi napenda nyanyua tumiguu twangu juuUmejuajeee[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna vitu vina sura mbaya ajabu ...Lakini...[emoji39][emoji39][emoji39][emoji23].. Halafu havina mbele wala nyuma kila position vinaonekana vilevile
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtu wa watu kajilalia zake kitandani kifudifudi kaamua kunyanyua kimguu kimoja juu..ila pazia Lina kiherehere sasa
AtuelezeeeUmejuajeee[emoji23]
Apia?Nikilala kifudifudi napenda nyanyua tumiguu twangu juu
Kifudifudi mguu hauwezi kufika juu kiasi hicho, huyo amelala chali.Mtu wa watu kajilalia zake kitandani kifudifudi kaamua kunyanyua kimguu kimoja juu..ila pazia Lina kiherehere sasa
Dah..[emoji848][emoji2827].. Ok ok sawa..[emoji1545][emoji1545][emoji1550][emoji1550][emoji1550]Nikilala kifudifudi napenda nyanyua tumiguu twangu juu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo msela yupo zake ghetto na laptop yake anaangalia Money Heist iliyotafsiriwa na babaa mirindaa.
AlooohKifudifudi mguu hauwezi kufika juu kiasi hicho, huyo amelala chali.
Kwa kweliAnafungua dirisha kwa mguu
Tena hapo utakuta anaongea na mpenz wake mpya kwenye simKwa kweli
Mbona mguu unaonekana wa mtu aliyelala chali? [emoji2377][emoji2377][emoji2377]Mtu wa watu kajilalia zake kitandani kifudifudi kaamua kunyanyua kimguu kimoja juu..ila pazia Lina kiherehere sasa