eldora
Senior Member
- Feb 4, 2024
- 111
- 368
Hizi cc zimerudi aisee
Hizi cc zimerudi aisee
Duuuh!!Unakojoa umesimama au unachuchumaa?
Wewe pengine urafiki wenu ni kuhadithiana story na matukio ya Afcon wakati akikutana na Rafiki mwingine wajadili namna ya ku exploit fursa za kiuchumi
Mie kuna Mzee mwenzangu kila nkikutana nae kijiweni ananipa story za Mwenyekiti wa Simba Mangungo anavyohujumu Timu yetu ya Simba lakini hana ushahidi hata mmoja ila muda wote anataka tujadili matokeo ya Simba hadi mechi za vichochoroni
nakuwa nae wakati nasubiri watu wenye habari za maana kufika na wakifika nabadilisha king'amuzi fasta
Ha ha haaaa nimecheka kama chiziWewe pengine urafiki wenu ni kuhadithiana story na matukio ya Afcon wakati akikutana na Rafiki mwingine wajadili namna ya ku exploit fursa za kiuchumi