Kuna yule Rafiki akishamuona rafiki yake wewe anakukataa kwa muda , Rafiki kama huyu unaishinae vipi?

Wewe pengine urafiki wenu ni kuhadithiana story na matukio ya Afcon wakati akikutana na Rafiki mwingine wajadili namna ya ku exploit fursa za kiuchumi

Mie kuna Mzee mwenzangu kila nkikutana nae kijiweni ananipa story za Mwenyekiti wa Simba Mangungo anavyohujumu Timu yetu ya Simba lakini hana ushahidi hata mmoja ila muda wote anataka tujadili matokeo ya Simba hadi mechi za vichochoroni

nakuwa nae wakati nasubiri watu wenye habari za maana kufika na wakifika nabadilisha king'amuzi fasta
 
Ha ha haaaa nimecheka kama chizi
 
Usilazimishe urafiki we jikate zako.

Fanya mambo Yako kuwa bize kweli kweli wakiongea sana were watatijua wenyewe.
 
Back
Top Bottom