Kuna wizi wa ndala kwenye guest house?

Kuna wizi wa ndala kwenye guest house?

Mtu anawezaje iba ndala MOJA ? Ya kazi gani SABABU naona ndala Zina RANGI tofauti MANAKE iliibiwa moja huu ni uongo nadhani ndala wameweka HIVYo wenye guest
 
Gesti zingine wanazikata mapengo ili zisitamanike kuibiwa. Si ustaarabu kuharibu ndala hizo kwa hofu ya kuibiwa
 
Civilization Africa hakuna Toka mzungu aje atufunze mpaka Leo bado sijui nani katuroga
Ndala za kuogea unaiba unapeleka wap? Ninandugu yangu ana lodge yake anasema Kuna wanaume wanakuja na madem zao mda wa kuondoka hua wanaume wanatangulia halaf baadae unaona mdada anatoka kumbe wale wadada wanaiba mataulo 😳 na mashuka ikabid aweke sheria mteja akiwa anataka kuondoka inabid aende ndan kwanza akakague
 
Hamna mtu anayeweza kuiba ndala lakini ni ushamba tu wa wamiliki guest kuwa na mawazo ya kuibiwa.
 
Back
Top Bottom