weka picha hata ya screenshot ujue MB246 ni jeroVideos zinagoma kila nikiattach mkuu,. Sijui kwanini
MB41 😀Nimeweka video mkuu
Afadhali 😀Acha ubahiri huo bhana,. Ngoja niscreenshoot
Huu ni ushuhuda wa kweli hauna makando kandoBinti yangu mwenyewe yupo very smart na hauwezi mwambia kitu kuhusu baba yake., ipo siku nitamweka humu ka video kake acha rasta zake zikue kwanza kama za baba yake 🤣🤣
Haha,. Niwekee tu basi mimi nikaone au hata picha yake nimweke dp,Binti yangu mwenyewe yupo very smart na hauwezi mwambia kitu kuhusu baba yake., ipo siku nitamweka humu ka video kake acha rasta zake zikue kwanza kama za baba yake 🤣🤣
Ewaah [emoji7]
Sawa rasta zake zikikaa poa wewe ni wakwanza kumwona totolii😁Haha,. Niwekee tu basi mimi nikaone au hata picha yake nimweke dp,
Napenda watoto🥰
Ni jinsi utakavyowalea tu wakishindwa walimwengu tupoHaha,. Kama hao watoto nawazaga hivi wanangu watajua kweli kusali na kufanya maombi kama hivyo ,.