Kuna watu Wanapokea Million 3 kwa mwezi

Walakini upi? Inawezekana ni aina ya maisha aliyoamua kuishi.

Everyone has got his lifestyle...as long as havunji sheria ya nchi.
Yafuatayo ni "walakini" ninaozungumzia,sio swala la kuvunja sheria wala nini.
1.Mchoyo.
2.Malaya.
3.Ana wifu sana.
4.Bahili.
5.Hajiamini.
6.Ana kasoro za kimaumbile.
7.Kaathirika kisaikolojia.
8.Mlevi sana au teja au anavuta bangi.
9.Mwizi au Jambazi.

Kwahiyo ukiona mtu yuko poa kiuchumi lakini ajaoa,basi moja ya sababu hizo hapo zinamuhusu.
 
Hizi ndio akili zilinazowaza ngono kila wakati....
 
Back
Top Bottom