Killa Cam
JF-Expert Member
- Jun 12, 2022
- 2,884
- 8,064
Mimi nilitoka Club na mipombe kibao nikasema nikirudi home na harufu hii wale maustadhi hawatanielewa kabisa.
Nikamcheki chali anakaa ilala pale mtaa wa Manyoni st na Bungoni st karibu na Don hotel pale. Sasa nikataka kuingia choo kilikuwa na harufu flani mbaya hatari. Halafu vile vyoo kuchutama nilitoka mbio mpaka leo nikenda naishia nje tu.