Kuna watu wanamaisha magumu sana

Kuna watu wanamaisha magumu sana

Arudi Kijiji akalime kama unaweza mtafutie kibarua ila usikutupuke. Usimuonee sana mtu huruma katika hali aliyonayo hujui alipotokea jipe muda kujua sababu za kuwa na hali hiyo.
Waswahili mna maneno ya shombo sana. Unadhani kulima siku hizi ni rahisi sana kama zamani wakati mvua ni ya uhakika na hakuwa na pembejeo za gharama kama saizi.
Pia wengi mnajua kulima ni adhabu na kwa vile mko Mjini mnajua maisha mmeyamaliza ila kwa taarifa yenu nawaomba mjaribu kutembea muone watu wanalima na wana miliki vitu vikubwa kuliko hata sisi tuliobanana hapa Dar hata hewa nzuri shida.
Bado hali ya maisha ni ngumu popote pale sio mjini wala Kijijini na hii hali ya kukalili maisha kuwa ni Mjini hasa Dar es Salaam ni anguko kubwa sana kwa vijana wengi.
 
Nje kidogo ya mada....

Niliwahi kusoma sehemu kwamba, hapa duniani kuna utajiri wa kutosha kabisa kuwafanya binadamu wote 8b kuishi "decent life" - yaani wapate makazi bora, chakula kizuri, mavazi nk.

Cha ajabu ni kwamba, asilimia 99 ya utajiri wote unashikiliwa na asilimia 1 tu ya binadamu! Na hao asilimia 1 hawana chochote cha maana wanachoufanyia huo utajiri zaidi ya kuuchezea kwenye starehe na ujinga mwingi.

Hua najiuliza sana, hivi sisi binadamu tuna akili kweli? Tulifikaje hapa? 🤔
 
Ni mwaka fulani nipita apo Dar, nikaamua nipite kwa mshikaji wangu wa kitambo tulisoma wote huko kanda ya ziwa.

Nilimtafuta akanambia yeye yupo kulagwa akanambia hana ela ya usafiri kunifata nilipo nikaona isiwe shida nikamfuata.

Nilipofika asee sikuamini maisha yamemponda sana ile sana nikamuuliza vitu mzee akanambia kama ninavomuona nilimhurumia sana nikampatia 50000 ya kumsaidiasaidia.

Tukaenda adi alipopanga tulipofika akanambia ndio hapa binapoishi asee nje kuchafu choo hakuna, bafu hakuna, maji hakuna, umeme hakuna nikaamua nimuulize unaishije sasa ndugu yangu akasema ni kawaida ameshazoea maisha hayo.

Tukaongozana kuelekea ndani mlango ulikuwa umefungwa tulipokaribia mlangoni kwake akainama akaokota jiwe nikamuuliza vipi tena mbona jiwe tena akacheka akasema hili sio jiwe ni funguo yangu mara akapiga jiwe juu ya kufuri, kufuri likafunguka nilisitajabu sana.

Alipofungua mlango tu ivi asee chumba hakina sakafu nzuri madirisha hakuna nilipowasha kitochi cha simu hakun godoro analala kwenye mkeka tu

Chumba kichafu sana harufu kali sana ya nguo chafu vyombo kama vinamiaka havijaona maji.
nilishindwa kukaa pale nilimpa pesa kidogo nikaenda zangu kulala lodge

Dar anamiaka karibia kumi lakini hata godoro hana
FUNZO,UNAPOPATA MAISHA MAZURI MSHUKURU MUNGU SANA MAANA KUNA WATU WANAISHI KAMA WANYAMA .
Hii ni riwaya ya kutunga, ht km hana hela ndiyo asifanye usafi?
 
Maisha katika huo Mkoa yameshamshinda kabisa, mshauri sana achukue maamuzi ya kurudi mkoani.
 
Kwa kweli ukiapata fursa ya kumshika mkono mtu yyte mliyesoma nae au mnafahamiana kwa namna moja ama nyingine MSAIDIE..kuna watu wananeema hiyo wako kwenye position nzuri anauwezo kabisa wa kutoa msaada wa kumvusha mwenzie kutoka alipo tena si ajabu akaombwa kabisa mkuu naomba nishike mkono nivushe nitoke hapa nilipo na asitake into action ..watu wanapitia magumu jamani akiombwa ushirikiano na unanafasi saidia bila kujali baraka na malipo utalipwa na Mungu..
 
Waswahili mna maneno ya shombo sana. Unadhani kulima siku hizi ni rahisi sana kama zamani wakati mvua ni ya uhakika na hakuwa na pembejeo za gharama kama saizi.
Pia wengi mnajua kulima ni adhabu na kwa vile mko Mjini mnajua maisha mmeyamaliza ila kwa taarifa yenu nawaomba mjaribu kutembea muone watu wanalima na wana miliki vitu vikubwa kuliko hata sisi tuliobanana hapa Dar hata hewa nzuri shida.
Bado hali ya maisha ni ngumu popote pale sio mjini wala Kijijini na hii hali ya kukalili maisha kuwa ni Mjini hasa Dar es Salaam ni anguko kubwa sana kwa vijana wengi.
Kilimo ni mbadala wenye angalau tofauti na kuajiriwa sababu utapata chakula na taratibu utapata mtaji na maisha yanasonga. Sehemu kubwa ya kipato cha mjini kinaishia kwenye chakula hasa una kipato cha kati na chini
 
Hapohapo kuna watu wanasema maisha ya Mtanzania tumeyaboresha.Huku wao wapo kwenye V8
 
Ni mwaka fulani nipita apo Dar, nikaamua nipite kwa mshikaji wangu wa kitambo tulisoma wote huko kanda ya ziwa.

Nilimtafuta akanambia yeye yupo kulagwa akanambia hana ela ya usafiri kunifata nilipo nikaona isiwe shida nikamfuata.

Nilipofika asee sikuamini maisha yamemponda sana ile sana nikamuuliza vitu mzee akanambia kama ninavomuona nilimhurumia sana nikampatia 50000 ya kumsaidiasaidia.

Tukaenda adi alipopanga tulipofika akanambia ndio hapa binapoishi asee nje kuchafu choo hakuna, bafu hakuna, maji hakuna, umeme hakuna nikaamua nimuulize unaishije sasa ndugu yangu akasema ni kawaida ameshazoea maisha hayo.

Tukaongozana kuelekea ndani mlango ulikuwa umefungwa tulipokaribia mlangoni kwake akainama akaokota jiwe nikamuuliza vipi tena mbona jiwe tena akacheka akasema hili sio jiwe ni funguo yangu mara akapiga jiwe juu ya kufuri, kufuri likafunguka nilisitajabu sana.

Alipofungua mlango tu ivi asee chumba hakina sakafu nzuri madirisha hakuna nilipowasha kitochi cha simu hakun godoro analala kwenye mkeka tu

Chumba kichafu sana harufu kali sana ya nguo chafu vyombo kama vinamiaka havijaona maji.
nilishindwa kukaa pale nilimpa pesa kidogo nikaenda zangu kulala lodge

Dar anamiaka karibia kumi lakini hata godoro hana
FUNZO,UNAPOPATA MAISHA MAZURI MSHUKURU MUNGU SANA MAANA KUNA WATU WANAISHI KAMA WANYAMA .
Kweli lakini uchafu ni tabia ya mtu. Usichanganye vitu hali au maisha magumu na uchafu
 
Kulangwa ndio Dar ya sehemu gani??
 
Watu wa hivyo ndio mtaji wa chama.
kwao kupewa Tshirt, baiskeli, kofia, kanga, ni maendeleo.
 
Kama ni fundi saidia inakuaje anaishi maisha kutojijali mwenyewe wakati wanapata posho kila siku? Ni mlevi?
 
Naona wengi mnashindwa kuelewa utofauti kati ya Maisha magumu, Mali na Hali.

Mtu anaweza kuwa hana kipato[Mali] lakini ana hali ya usafi, afya njema iliyotunzwa na ana furaha tu kwasababu anaamini anaelekea pazuri.

Uchafu, Ulevi na Kupenda ngono ni tabia ambazo hata watu matajiri wanazo.
Kuna watu hawana mali ila wana hali nzuri kiusafi na kitabia.
Blood 👊
 
Hakuna mkoa wenye vituko (maisha duni, uchafu na kutostaarabika) kama Dar, HAKUNA.
Lakini ndo jiji lenye mamilionea na mabilionea wa kutosha. Hiyo ndo maana ya jiji. Fuatilia Majiji yote Duniani yana mafukara wa mwisho kabisa na mabilionea wakubwa zaidi. Hii ndo Dar.
 
At least ulimpa fedha kidogo,safi sana,
Kama una uwezo kiasi,muulize ana fanya issue gani ili umsapoti kwenye hizo issue zake,au ajaribu maisha kwingine na sio kuendelea kupoteza time yake Dar tu,

Kitendo cha wewe kumtafuta mtu mliyesoma nae,kinaonyesha una moyo wa upendo na una jali,

Pia kitendo cha huyo rafiki yako kukuonyesha maisha yake halisi bila kukuficha,kina ashiria kua nae ni mtu mwema japo bado hajajipata.
Anaweza kumtoa hapo tu mwamba akarejelewa na akili zake akabadilika kabisa
 
Back
Top Bottom