Kuna watu wana vitambi hujaona...!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna watu wana vitambi hujaona...!!

Discussion in 'Jamii Photos' started by stineriga, Jun 26, 2012.

 1. stineriga

  stineriga JF-Expert Member

  #1
  Jun 26, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 2,033
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
   
 2. stineriga

  stineriga JF-Expert Member

  #2
  Jun 26, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 2,033
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  hii Thread nilitaka post jukwaa la jamii photo, nimeipost hapa kimakosa, kudelete thread sijui ndio unadelete vipi?!!!
   
 3. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #3
  Jun 26, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Kiongozi hapo chini ya Thrade rudi kwenye kibox cha "edit" click ikifungua check kamshale hako kanakokuongoza ku'text kanako desplay na kupotea kama endicator kawe kapo ndani ya text (thrade) kisha click kama unataka ku'submit post, ikifungua kibox cha "submit post" kita'read "save changes or submit changes" hicho kiache angalia chini yake utaona kibox cha "delete post" bofya hapo note due unproper network now days mara nyingi mpk ufanye double or triple click , ndo inakubali .
   
 4. kijembeee

  kijembeee JF-Expert Member

  #4
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 411
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  xtra fats izo,very harmful
   
 5. stineriga

  stineriga JF-Expert Member

  #5
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 2,033
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  kuna wanajisisfia kitambi ni deal, eti wanaonekana wana hela wakiwa na vitambi, pia kitambi kinawapa mademu kwa hao mademu kuwaona wanazo hela,,
   
 6. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #6
  Jun 27, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,534
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 180
  Hicho kitambi au mimba ya mapacha 3?.
   
 7. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #7
  Jun 27, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Uvivu huo, tumbo lote hizo unalala vipi hapo style moja tu ya kungonoka halafu humuoni mwenzio sasa!
   
Loading...