Kuna watu wana majibu ni balaa

Kuna watu wana majibu ni balaa

wakwee wa sikuhizi hatahaya hakuna

ndomana wengi wanagongwa na wakwe zao, na jamaa kapiga familia yote ,ndingi ndo kapona
 
Jana bwana nikiwa natoka job nikakutana na jamaa yangu mmoja akanipa lift akiwa na wife wake na shangazi wa mke wake naweza kusema na yeye ni mkwe wake.

Tukiwa maeneo ya Aga Khan upanga ghafla ikapita G wagon.

Mkwe: Wanangu mmeona wanaume hao ....
Jamaa: Wanaume wapi, yule mwanamke tena binti tu
....
Wife: Kumbe mi nlikuwa sijaona vizuri
....
Jamaa: Mabinti wanaojua kutumia viungo vyao vizur hao si wale wana dili na maskini wanaishia kwenye IST.

Daaah kwenye gari palikuwa kimya hadi tunafika Kimara .... nilitamani kuchangia nikaona so na jamaa anaendesha IST.
Hi inaitwa blal fake... Ubaya Ubwela... Shangazi Na wife hawatakaa kushoboka Tena mbele ya Mwamba ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚....
 
Jamaa katisha,tena huenda hizo k zilizokuwa ndani ya hyo IST ndizo zilizosababisha jamaa awe na hicho kigari huenda kama sio wao angekuwa na hilo li G wagon
Hahaha yule mwamba mwenzangu na mimi tu uweza wa G wagon hana sema amejaliwa kujiamini sanaa.
 
Hii stori ya siku nyingi sana miaka kenda na kenda.
basi jamaa alitembea humo kwenye story akaapply na kwa namna nilimuuliza baadaye nikagundua yule shangazi alistahili majibu ya style ile.
 
Bora uyo kamjibu ivyo tulipishana na rangee bhana tuko na IST yetu mai friend kamtania bwana ake wanaolia Kwa ilo gari Wana raha jmn sijui lini na mm ntafika uko. A minute tukashushwa pale mataa ya mwenge wakati ya foleni ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ’” token Kwa gari yangu msinichafulie usafiri from that day jaman mm na lift no kwakweli ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ
Huyu mbabe sanaa duuh! Ila hata mimi ningetafuta namna namna ya kuwashusha
 
Back
Top Bottom