Kuna watu wana majibu ni balaa

Kuna watu wana majibu ni balaa

second9

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2016
Posts
294
Reaction score
628
Jana bwana nikiwa natoka job nikakutana na jamaa yangu mmoja akanipa lift akiwa na wife wake na shangazi wa mke wake naweza kusema na yeye ni mkwe wake.

Tukiwa maeneo ya Aga Khan upanga ghafla ikapita G wagon.

Mkwe: Wanangu mmeona wanaume hao ....
Jamaa: Wanaume wapi, yule mwanamke tena binti tu
....
Wife: Kumbe mi nlikuwa sijaona vizuri
....
Jamaa: Mabinti wanaojua kutumia viungo vyao vizur hao si wale wana dili na maskini wanaishia kwenye IST.

Daaah kwenye gari palikuwa kimya hadi tunafika Kimara .... nilitamani kuchangia nikaona so na jamaa anaendesha IST.
 
20250302_174146.jpg
 
Bora uyo kamjibu ivyo tulipishana na rangee bhana tuko na IST yetu mai friend kamtania bwana ake wanaolia Kwa ilo gari Wana raha jmn sijui lini na mm ntafika uko. A minute tukashushwa pale mataa ya mwenge wakati ya foleni 😹😹💔 token Kwa gari yangu msinichafulie usafiri from that day jaman mm na lift no kwakweli 🙌🏾
 
Huyo rafiki yako akili hana.

Unapobeza kitu cha mtu, jipimie kwanza kama wewe unaweza kukimiliki.
 
Back
Top Bottom