Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,628
Tafuta pesa bwashe acha ujinga,ukizubaa unaolewa
Wakati huo ndege JOHN hana kitanda na hana hiyo pesa ya kununua kitanda cha foot4
Heri yako wewe hiyo ni ya miezi 6, mie stoo yangu hiyo ni kodi ya miaka miwili.
Kweli kabisa Aggy.Hahahaa acha uongo wewee
Mbona kawaida hizi ni maalumu kwaajili ya watu wa kutalii wanakuwa familia nzima au group la wana ndugu,humo ndani kila kitu wanakikuta wao wanaingia wanakaa siku wanazo taka wanasepa.
Mi najua we bosslady bana..Kweli kabisa Aggy.
Mbons kama tangazo hivi dalali wa mboso umekuja kutafuta wateja huku
Mi najua we bosslady bana..
Atoto manotii
Mhh..ukishikwa unaishi hump tra wanakuhusuUkisikia wale wanaoibia serkali milion Mia kwa dkk hiyo ndio mijengo wanaishi
Mie manoti nayatoa wapi kwamfano
Daah umenikumbusha hilo jina, nimelimiss.Mi najua we bosslady bana..
Atoto manotii