Kuna watu tuliumbwa kupishana na gari la mapenzi

Naandika kwa uchungu sana. Huwa nikipenda mwanaume mmoja nampenda huyo huyo na siwez kumcheat labda anizingue. Mwanaume ambae nilijua tutamaliza wote maisha yaliyobaki hapa duniani ameniumiza sana. Ningekua labda mbaya nisingeumia sana. Ila hata bwana angu huwa ananiambia haamini mimi kumpenda yeye. B umeamua kuniumiza moyo wangu kwa mara nyingine. Nakuombea mabaya na huyo mwanamke ulie nae. Na namuomba Mungu anisikie kilio changu.
Mapenzi ni kama mvua.
 
kuna haya either una ubo namba 4 au sio mchangamfu umekaa kimashaka mashaka hadi mtu anakuhis vibaya
 
Naandika kwa uchungu sana. Huwa nikipenda mwanaume mmoja nampenda huyo huyo na siwez kumcheat labda anizingue. Mwanaume ambae nilijua tutamaliza wote maisha yaliyobaki hapa duniani ameniumiza sana. Ningekua labda mbaya nisingeumia sana. Ila hata bwana angu huwa ananiambia haamini mimi kumpenda yeye. B umeamua kuniumiza moyo wangu kwa mara nyingine. Nakuombea mabaya na huyo mwanamke ulie nae. Na namuomba Mungu anisikie kilio changu.
Tatizo hutaki kuniona
 
1Wathesalonike 5:18 "Shukuruni kwa kila jambomaana hayo ni mapenzi ya Mungu kwenu katika Yesu Kristo."Hayo ndio mapenzi ya Mungu kwako yakupasa ushukuru,Mungu atujuaye mpaka sirini mwa mioyo yetu anajua amekuepusha na lipi.God is steal writing your love story.
 
Kosa kubwa tunalolifanya sisi wanadamu n kuhisi labda ukimfanyia mtu wema sana ..na ww atakufanyia hvyo hvyo ... .na ndo maana ikiwa kinyume na matarajio huwa tunaumia ..hvyo hvyo kwenye mapenz we don't need to expect to much from our partners

Mara nyingi tunahisi hivyo na kudhani kuwa wote tuna hisia Sawa kumbe yawezekana mwenzio hakuwa serious kama wewe!dah Mungu anawaona
 
Sijawahi kupenda mtu toka nimpende yeye. Tuliachanaga 2015 ila mpaka leo bado nampenda.

Pole dear hii huwa inatokea kumpenda Mtu sana toka moyoni na hata iweje huwezi mfuta!ila ndiyo hivo hawajui thamani!jipe muda utakuwa Sawa Mungu ni mwema sana
 
Back
Top Bottom