Kuna watu tuliumbwa kupishana na gari la mapenzi

1Wathesalonike 5:18 "Shukuruni kwa kila jambomaana hayo ni mapenzi ya Mungu kwenu katika Yesu Kristo."Hayo ndio mapenzi ya Mungu kwako yakupasa ushukuru,Mungu atujuaye mpaka sirini mwa mioyo yetu anajua amekuepusha na lipi.God is steal writing your love story.

Amen
 
dada yangu Mzigua90 nini tena dada yangu na mwaka mpya huu? umefanya nini tena? hem kaa chini kwanza walau kwa mwaka huu mmoja 2018 huu tu, ujichunguze nini tatizo? kwa mwaka huu usikubali kuingia kwenye relation yyte hadi kwanza uje na mkakati maridhawa. Sasa dada yangu wewe kilio kila siku tu.
 
Akae tena mwaka wakati wameachana 3 years ago!,bado yupo anasearch ila ndio hivyo bado hajaona mwenye vigezo anavyohitaji
Hilo ndilo tatizo kubwa analolikumbatia na akizidi kulikumbatia atakuwa mtu wa kulia lia kila siku. Mwanaume mwenye akili timamu anayehitaji kuoa huhitaji mwanamke aliyetulia kwahiyo mtu atakayehitaji mke atamkuta huyu bibie bado hajatulia kwahiyo atakuwa bado anapishana na gari la mapenzi ya dhati. Kuendelea kumng'ang'ania huyo jamaa atazid kujizibia ridhiki.
Kukaa mwaka mmoja, ni kuweka mwili vizuri na kuponya majeraha ya moyo pamoja na akili. Kuendelea kumkubatia mtu asiyejua thamani yako, ni sawa na kujipaka kinyes cha binadamu huku ukitegemea utakaa kwenye kundi la watu bila ya kukufukuza .
Kuachana na mtu anayekupenda haimanishi utashindwa kuishi.
 
Unamuombeaje mabaya? Mahusiano yenu yalijengwa katika misingi ambayo Mwenyezi Mungu hapendi(ngono), inadhani Mungu atasikia dua zako kwa huyo jamaa kweli?

Kaa kwanza ujitafakari, ukiona kila siku unaumizwa tulia, pumzika na mahusiano kwa muda then jitafakari upya.
 
Naandika kwa uchungu sana. Huwa nikipenda mwanaume mmoja nampenda huyo huyo na siwez kumcheat labda anizingue. Mwanaume ambae nilijua tutamaliza wote maisha yaliyobaki hapa duniani ameniumiza sana. Ningekua labda mbaya nisingeumia sana. Ila hata bwana angu huwa ananiambia haamini mimi kumpenda yeye. B umeamua kuniumiza moyo wangu kwa mara nyingine. Nakuombea mabaya na huyo mwanamke ulie nae. Na namuomba Mungu anisikie kilio changu.

Baby listen! Mi pia nina moyo huo tena zaidi yako. Sahivi sijutii tena kuwa mwaminifu na enjoy tu though huko nyuma nilikuwa nalia sana.

Iko hivi it doesn't matter how good you are! Uwe na tabia nzuri, sura, mchapa kazi n. k haimaanishi mtu ambaye alikuja kwako kwa dhamira ya kuspend time basi utam maintain! Moyo wa mwanadam ni wa ajabu anaweza acha mtu mzuri tabia, sura, ucha Mungu akakimbila mtu fulani pasua kichwa akakuambia yule ni chaguo langu

Relax, love your self, accept kilichotokea, jitafakari kwa muda kama kuna mahali unakosea (usiwe bias) jirekebishe kama hamna basi tulia chaguo lako hujakutana nalo pengine na lenyewe linaumizwa huko.
 
Naandika kwa uchungu sana. Huwa nikipenda mwanaume mmoja nampenda huyo huyo na siwez kumcheat labda anizingue. Mwanaume ambae nilijua tutamaliza wote maisha yaliyobaki hapa duniani ameniumiza sana. Ningekua labda mbaya nisingeumia sana. Ila hata bwana angu huwa ananiambia haamini mimi kumpenda yeye. B umeamua kuniumiza moyo wangu kwa mara nyingine. Nakuombea mabaya na huyo mwanamke ulie nae. Na namuomba Mungu anisikie kilio changu.

Pole sana dada.
 
Back
Top Bottom