Kuna watu tuliumbwa kupishana na gari la mapenzi

Pole sana binti.

Ushauri wangu ni anza ku-Bet utamsahau. Ukiweka mkeka muda wote unakuwa mtu wa pressure na matokeo ya match. Huwezi kumkumbuka tena.
 
Sio kuchafua dogo..hili gagula lilirusha picha humu ni likituko hatarii yaani mikono na miguu saiv moja tukunyema..sasa ivi linaji upgrade ujinga mtupu na kutafuta huruma ya maboya ..uyu anauza awe muwazi tu
Wewe takataka usiniletee stress zako mimi. Mie tukunyema kweli sio kimodo kama wewe.
 
Mamaa papa ikishatumika tuu wewe ni basi tena huwezi kuwa kama mwanzo haijalishi ni mzuri kama ua waridi, haipunguzi mwanaume kutaka kuonja kwingine.

Pole sana na msamehe tuu mmalizie maisha yenu, tafuta wapi pamekaa vibaya mrekebishe, ukisha waelewa wanaume utaishi kwa amani sana, inaionekana bado hujawaelewa
Shukrani
 
Naandika kwa uchungu sana. Huwa nikipenda mwanaume mmoja nampenda huyo huyo na siwez kumcheat labda anizingue. Mwanaume ambae nilijua tutamaliza wote maisha yaliyobaki hapa duniani ameniumiza sana. Ningekua labda mbaya nisingeumia sana. Ila hata bwana angu huwa ananiambia haamini mimi kumpenda yeye. B umeamua kuniumiza moyo wangu kwa mara nyingine. Nakuombea mabaya na huyo mwanamke ulie nae. Na namuomba Mungu anisikie kilio changu.
Maombi ya kumuombea mtu apatwe na mabaya sidhani kama huwa yanapokelewa.
 
Sijawahi kukuona unalalamika namna hii...

Pole sana. Siku hizi watu wanapenda kwa kutumia akili, moyo umebakiwa na kazi ya kusukuma damu tu....
Asante mkuu. Siku nikiweza kupenda kwa kutumia akili ntaumiza wengi sana.
 
Back
Top Bottom