Kuna watu hatuna bahati

Kuna watu hatuna bahati

al-baajun

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2015
Posts
297
Reaction score
225
Salaam wadau?
Mimi ni mdau wa jukwaa la siasa ila nimefungua id mpya ili nije nifunguke kitu kinachonsumbua nafsi yangu na kukosa raha ya kuishi

mimi bwana mdogo wa 23 yearz,nipo chuo diploma,nilipokua na miaka 17 niligundulika na type 2 diabetes(kisukari)nikapewa dawa na nikaambiwa nijiepushe na vitu vya sukari na kufanya mapenzi,nilijitahidi kufanya hivo ila sikudumu kutokana na ujana tena nilijisahau na kuendelea na maisha,sasa mwaka jana nilianza kuumwa umwa, baada ya kupima niligundulika kua ugonjwa wangu umeniathiri vibaya viungo vya uzazi kwaiyo sitoweza kuzaa,sperm zangu ni vimeo..dah niliumia sana na sana,yaani maisha yangu magumu alafu bado napata majanga kama haya.

Japo sasa afya yangu ipo vzuri ila matatizo haya yamenifanya nikate tamaa ya maisha,Nimekua sina raha ya maisha,nipo mpweke naona giza maishani mwangu,chuoni nimeporomoka kiuwezo,nayakimbia mahusiano kwa kuogopa insecurity zangu kwa sababu naona mwanamke atankubali akijua mimi mgumba.

Nimekuja hapa kama ku spit out kilicho moyoni maana kinanimaliza kidogo kidogo na kutaka mashauri yenu.
 
Pole kwa matatizo ujue tupo hapa duniani ni mpito.usikate tamaa bado upo hai na mzima wa afya .Pengine unarafiki wako wakaribu sana either wa kike au wakiume ni vyema kuongea nay kisha akusaidie.Utapata msijana na atakupenda.Elewa vyema Dunia ya kisasa imejaaliwa kila utaalamu utapata unachokitaka ukiwa na pesa .
Jitahidi ufanye vizuri kisha ufanikiwe ktkt maecha yako .............
 
Pole usikate tamaa ya maisha! kwanza kwa sasa kazania masomo ili uwezekufaulu vizuri kwani ukifeli unakuwa unaongeza tatizo juu ya tatizo. Maisha ni zaidi ya motto. Na motto si lazima uliyezaa mwenyewe kuna arrangement unaweza fanya ukapata motto kwa njia nyingine. Ukianza kijishuku mwnyewe utaloose confidence. Kuna mambo mengi ya kufurahia maisha.
 
sawa mkuuu,nimekuelewa na rafiki ninaye ila naona uzito kumwambia
 
Pole kwa matatizo ujue tupo hapa duniani ni mpito.usikate tamaa bado upo hai na mzima wa afya .Pengine unarafiki wako wakaribu sana either wa kike au wakiume ni vyema kuongea nay kisha akusaidie.Utapata msijana na atakupenda.Elewa vyema Dunia ya kisasa imejaaliwa kila utaalamu utapata unachokitaka ukiwa na pesa .
Jitahidi ufanye vizuri kisha ufanikiwe ktkt maecha yako .............

Ushauli Mzuri Mkuu, Afanye Hivyo Tuu!!!
 
Huyo Dr muongo.......wala usiogope......utazaa tu.......

nimeshindwaga kuelewa how do you see matters.....upo wa ajabu ajabu sana! hautabiriki.......difficult to crack your codes! So excellent and lovely!

I love you!
 
Pole usikate tamaa ya maisha! kwanza kwa sasa kazania masomo ili uwezekufaulu vizuri kwani ukifeli unakuwa unaongeza tatizo juu ya tatizo. Maisha ni zaidi ya motto. Na motto si lazima uliyezaa mwenyewe kuna arrangement unaweza fanya ukapata motto kwa njia nyingine. Ukianza kijishuku mwnyewe utaloose confidence. Kuna mambo mengi ya kufurahia maisha.
ni kweli maisha ni zaidi ya mtoto,asante sana kwa ushauri
 
Maisha sio kuzaa watoto

Wakati ukifika tafuta tasa umuoe mtaishi kwa amani

Hakuta kuwa na wakumcheka mwenzake ila ukioa mzima atazaa nje na atakutangaza mpaka chooni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom