Kuna wanawake wazuri balaa!

Kuna wanawake wazuri balaa!

milionea wa kesho

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2015
Posts
328
Reaction score
632
Unakuta mwanamke ana sura nzuri makalio makubwa hips pana, kifua chuchu saa sita, mrefu kiasi, rangi nzuri, anavaa vizuri na ananunikia marashi.

Wanawake kama hawa mimi huwa nawaweka katika kumbukumbu zangu. Najua kabisa kwa sasa nikisema niwatongoze hawatanikubalia bado sina hela kihivyo. Nazichanga zikiwa nyingi nyingi ndio nawatafuta niwe nao kimapenzi.

Kuna mabinti kadhaa mtaani lazima nitawatafuna nikiwa vizuri hata kama wameolewa. Wengine wapo instagramu lazima niwatafutege nikiwa vizuri kiuchumi.

IMG_20191002_203735.jpeg
 
Mkuu inaonekana "utoto" bado unakusumbua sana lakini ukikua kiakili utatulia na kuwaona hawa viumbe ni kama maua tu, leo yanachanua vizuri na kesho yanasinyaa na kukauka. By the way ukiwa kama binadamu unapaswa kutambua ni kwanini unaishi na MUNGU anataka nini kutoka kwako. Nina imani hujazaliwa duniani ili "uwavue" chupi Wanawake wowote unaowatamani. Lipo kusudi la kwanini unaishi. Jitahidi sana ulijue hilo "kusudi" ili usije kupotezwa na tamaa za macho.
 
Umeenda mbali sana mkuu. Ungebaki hapa hapa kwenye uzuri. Hayo mambo ya kujua kusudi langu ni mengine kabisa
 
Back
Top Bottom