mfate42
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 3,769
- 4,260
Habarini ndugu zangu.
Leo usiku huu nimeona nije na hii mada ambayo imenikulupusha kwenye usingizi..je, Ni kweli Kuna baadhi ya wanawake wana mikosi na wengine wana baraka?..kwa mfano nna jamaa yangu alipooa tu,. baada ya miez miwili kupita akafariki kwa ajali..
Pia nna mwingine ye baada ya kuoa tu Basi ile mifereji ya pesa yote ikaanza kuziba..yani Kama vile mwanamke kachukua kokoto na mchanga na maji akapiga ukingo kama ule wa belini..
Ila naambiwa pia kuna wanawake ambao huja na baraka zao,. mfano kaka yetu niki wa pili,.kaoa hajamaliza hata miaka tayari kateuliwa ukuu wa wilaya,.na sio yeye tu kuna mtu nnae mfahamu kabisaaa,. hapa kitaa alisomea injia ya umeme,..alioa kabla hata ya kupata ajira..mpaka nikawa namuuliza aisee unajiamini Nini kuoa na wakati kazi huna...aisee jamaa akaandika maombi ya kazi mahali flani wakaitwa watu mia nane ,.wakachujwa wakabaki mia then ishirini,.baadae watano tu ndo waliofanikiwa kuajiriwa..na taasisi hiyo ya serikali...
Je hizi stori ni za kweli ndugu zangu..Mana naona kama mke nnaeishi nae ndo chanzo cha Mimi kutokufanikiwa,.isije ikawa na yeye ana mikosi ndo Mana mishe hazitiki..na ndoto Kila siku zinayoyoma tu...
Usiku mwema ndugu zangu....
Pia soma>>> Kwanini watu wengine huwa na mikosi katika mahusiano?