Binafs nimepata ela sana baada ya kuoa.
Mke wangu ametokea familia maskini sana, nilipata upinzani sana kwa ndug,jamaa na marafiki.
Wengi wakitegemea ningeyumba kiuchumi.
Nilipopata na mtoto wa kwanza, ndio zikaongezeka zaidi na zaidi.
Ndani ya ile miaka 2 tu ya mwanzo ya ndoa na mke wangu.
Nmefanya makubwa sana kimaendeleo ambayo kikawaida yangenichukua miaka 5 kuyatekeleza.
NB: Tulikaa kwenye ndoa bila mtoto kwa miaka 2 .
Mwaka wa Tatu ndio akaja shika ujauzito wa firstborn wangu.
Na Ndani ya miaka 2 tu baada ya mwanangu wa kwanza kuzaliwa.
Nmejikuta nmefanya makubwa sana kimaendeleo ambayo nadhani kikawaida yangenichukua miaka 10 kuyatekeleza.
Naungana na Mtoa mada,
Kuna wanawake wananyota, Na mke wangu ni mmoja wapo.
MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU MAMA WATOTO WANGU. mmmwaaah!
