Kuna wanawake wana mikosi na wengine baraka?

mfate42

JF-Expert Member
Nov 16, 2014
3,768
4,260
Habarini ndugu zangu.

Leo usiku huu nimeona nije na hii mada ambayo imenikulupusha kwenye usingizi..je, Ni kweli Kuna baadhi ya wanawake wana mikosi na wengine wana baraka?..kwa mfano nna jamaa yangu alipooa tu,. baada ya miez miwili kupita akafariki kwa ajali..

Pia nna mwingine ye baada ya kuoa tu Basi ile mifereji ya pesa yote ikaanza kuziba..yani Kama vile mwanamke kachukua kokoto na mchanga na maji akapiga ukingo kama ule wa belini..

Ila naambiwa pia kuna wanawake ambao huja na baraka zao,. mfano kaka yetu niki wa pili,.kaoa hajamaliza hata miaka tayari kateuliwa ukuu wa wilaya,.na sio yeye tu kuna mtu nnae mfahamu kabisaaa,. hapa kitaa alisomea injia ya umeme,..alioa kabla hata ya kupata ajira..mpaka nikawa namuuliza aisee unajiamini Nini kuoa na wakati kazi huna...aisee jamaa akaandika maombi ya kazi mahali flani wakaitwa watu mia nane ,.wakachujwa wakabaki mia then ishirini,.baadae watano tu ndo waliofanikiwa kuajiriwa..na taasisi hiyo ya serikali...

Je hizi stori ni za kweli ndugu zangu..Mana naona kama mke nnaeishi nae ndo chanzo cha Mimi kutokufanikiwa,.isije ikawa na yeye ana mikosi ndo Mana mishe hazitiki..na ndoto Kila siku zinayoyoma tu...

Usiku mwema ndugu zangu....

Pia soma>>> Kwanini watu wengine huwa na mikosi katika mahusiano?
 
Maisha yako hivi, awe mwanamke au mwanaume, mmoja ni rafiki mwingine ni adui, mmoja ni anguko la maisha yako mwingine ni inuko la maisha yako. Kujua nani ni nani katika maisha yako unatakiwa ujue kunusa, kuona, kuhisi na kuona hatari kabla hatari haijakufika...
 
Kimsingi ni kuomba Mungu sana, kabla sijaoa nilikuwa na fedha pia nilipata dil nying sana na nilifanya vitu bya msingi vingi ndani ya mwaka 1. Kwa sasa kuna utofauti mkubwa sijajua hii inatokana na kuongezeka kwa majukumu ya kutunza familia au la!!. Naamini kwa asilimia 100 Mungu ndio anapanga yote.
 
Hii kitu ina ukweli, ndio maana watu wengi sana hufanikiwa baada ya kufunga ndoa.Na wengi wao wamekuja kuangukia pua baada ya kuachana.Lakini sio yeyote utakaefunga naye ndoa ana hizo baraka, unakuta mwingine kashatembea na watu tofauti tofauti kwahiyo kashabeba mikosi,hivyo hapo usitegemee kufanikiwa...
 
Maisha yako hivi, awe mwanamke au mwanaume, mmoja ni rafiki mwingine ni adui, mmoja ni anguko la maisha yako mwingine ni inuko la maisha yako. Kujua nani ni nani katika maisha yako unatakiwa ujue kunusa, kuona, kuhisi na kuona hatari kabla hatari haijakufika...
6th sense
 
Asante Sana ndg,..kwa mchango wako
Maisha yako hivi, awe mwanamke au mwanaume, mmoja ni rafiki mwingine ni adui, mmoja ni anguko la maisha yako mwingine ni inuko la maisha yako. Kujua nani ni nani katika maisha yako unatakiwa ujue kunusa, kuona, kuhisi na kuona hatari kabla hatari haijakufika...
 
Habarini ndugu zangu.

Leo usiku huu nimeona nije na hii mada ambayo imenikulupusha kwenye usingizi..je, Ni kweli Kuna baadhi ya wanawake wana mikosi na wengine wana baraka?..kwa mfano nna jamaa yangu alipooa tu,. baada ya miez miwili kupita akafariki kwa ajali..

Pia nna mwingine ye baada ya kuoa tu Basi ile mifereji ya pesa yote ikaanza kuziba..yani Kama vile mwanamke kachukua kokoto na mchanga na maji akapiga ukingo kama ule wa belini..

Ila naambiwa pia kuna wanawake ambao huja na baraka zao,. mfano kaka yetu niki wa pili,.kaoa hajamaliza hata miaka tayari kateuliwa ukuu wa wilaya,.na sio yeye tu kuna mtu nnae mfahamu kabisaaa,. hapa kitaa alisomea injia ya umeme,..alioa kabla hata ya kupata ajira..mpaka nikawa namuuliza aisee unajiamini Nini kuoa na wakati kazi huna...aisee jamaa akaandika maombi ya kazi mahali flani wakaitwa watu mia nane ,.wakachujwa wakabaki mia then ishirini,.baadae watano tu ndo waliofanikiwa kuajiriwa..na taasisi hiyo ya serikali...

Je hizi stori ni za kweli ndugu zangu..Mana naona kama mke nnaeishi nae ndo chanzo cha Mimi kutokufanikiwa,.isije ikawa na yeye ana mikosi ndo Mana mishe hazitiki..na ndoto Kila siku zinayoyoma tu...

Usiku mwema ndugu zangu....

Pia soma>>> Kwanini watu wengine huwa na mikosi katika mahusiano?
ngoja wajuzi waje. Nick ameteuliwa kutokana na uchawa wake. Injinia alichaguliwa kutokana na degree yake.
 
Amini usiamini, jaribu kuoa demu wa bongo movie uone maisha yako yatakuwaje kama si kukimbiwa na watu kila kukicha wakikuona ni mtu wa mikosi. Ndiyo maana wanawake wengine ni wa kuchapa tu na kuaacha haswa hawa wanawake wa mjini wasio na shughuli kazi kudanga tu kutafuta waume za watu na kuwaroga.
 
Habarini ndugu zangu.

Leo usiku huu nimeona nije na hii mada ambayo imenikulupusha kwenye usingizi..je, Ni kweli Kuna baadhi ya wanawake wana mikosi na wengine wana baraka?..kwa mfano nna jamaa yangu alipooa tu,. baada ya miez miwili kupita akafariki kwa ajali..

Pia nna mwingine ye baada ya kuoa tu Basi ile mifereji ya pesa yote ikaanza kuziba..yani Kama vile mwanamke kachukua kokoto na mchanga na maji akapiga ukingo kama ule wa belini..

Ila naambiwa pia kuna wanawake ambao huja na baraka zao,. mfano kaka yetu niki wa pili,.kaoa hajamaliza hata miaka tayari kateuliwa ukuu wa wilaya,.na sio yeye tu kuna mtu nnae mfahamu kabisaaa,. hapa kitaa alisomea injia ya umeme,..alioa kabla hata ya kupata ajira..mpaka nikawa namuuliza aisee unajiamini Nini kuoa na wakati kazi huna...aisee jamaa akaandika maombi ya kazi mahali flani wakaitwa watu mia nane ,.wakachujwa wakabaki mia then ishirini,.baadae watano tu ndo waliofanikiwa kuajiriwa..na taasisi hiyo ya serikali...

Je hizi stori ni za kweli ndugu zangu..Mana naona kama mke nnaeishi nae ndo chanzo cha Mimi kutokufanikiwa,.isije ikawa na yeye ana mikosi ndo Mana mishe hazitiki..na ndoto Kila siku zinayoyoma tu...

Usiku mwema ndugu zangu....

Pia soma>>> Kwanini watu wengine huwa na mikosi katika mahusiano?
Kuna ukweli hapa mkuu, nimewahi kulinganisha uhusiano wangu na baadhi ya wanawake Kuna wengine nilikutana na baraka za kutosha na wengine mikosi tu yaani

Screenshot_20210616-104230.png
 
Hamna kuna mwanamke alisemwa vibaya kama Elizabeth Michael Lulu kwamba kila mwanaume anaekuwa nae atakufa refer to Kanumba, yule wa kuangukia meza ya kioo nimemsahau, na mambo kama hayo mbona Majjizoo yupo na ndoa kafunga na mimba juu?
 
Habarini ndugu zangu.

Leo usiku huu nimeona nije na hii mada ambayo imenikulupusha kwenye usingizi..je, Ni kweli Kuna baadhi ya wanawake wana mikosi na wengine wana baraka?..kwa mfano nna jamaa yangu alipooa tu,. baada ya miez miwili kupita akafariki kwa ajali..
Unashangaa au, ebu jaribu kuoa mdangaji, demu yeyote wa bongo movie, supa staa uchwara wa kibongo uone utakavyojuta kuzaliwa.
 
Back
Top Bottom