Hongera mkuu.Mfa
Nfano Mzuri, Mimi nimeoa Bikra kabisa Mke wa Ujana wangu. Na hakuna chembe chembe yoyote ya Uhuni tangu anakua.
Kuwapata ni mtihani.
Hongera mkuu.Mfa
Nfano Mzuri, Mimi nimeoa Bikra kabisa Mke wa Ujana wangu. Na hakuna chembe chembe yoyote ya Uhuni tangu anakua.
Nimeshtuka kwanza.nimechoshwa na tabia hii, sasa hivi ni mwendo wa nipe nikupe, hunipi sikupi hela. Utapeli umekuwa mwingi sana. Wanaanza na vocha, mara bando wanapanda kila ukimpa kesho anapandisha. Mbaya zaidi penzi hupewi. Ukija kushituka milioni imetoka na kutumbukia kwenye shimo la tewa
Wapo ila wachache mnoo kwa haraka haraka hawa wa rika la balhe mpaka 50 hvi.. katika wanawake 10 basi 6 mpaka 7 hivi kati yao ni shika mkono twende. Wapo wanaojiuza official na unofficial.
Wasiojiuza ni wachache mnoo







Ma mkwe, usiende mahali, kidhati mliopoa ni nyinyi wachache, wengi ni wadangaji mkwe wangu.
Au mama kamuuliza kajibiwaje?Hata kwenye familia/ukoo wako hamna?
Piga chiniKila ukitongozà tayari simu imepasuka kioo, bibi mgonjwa, kodi imeisha, kitambaa cha sare nk. Hii ni kujiuza 100%.
Mwanao mda si mrefu nambwaga...ye mwenyewe mizinguo tuMa mkwe, usiende mahali, kidhati mliopoa ni nyinyi wachache, wengi ni wadangaji mkwe wangu.
Nisamehe nimeongea maneno mazito ma mkwe...
Kwako mwanangu kapata kifaa na nakuaminia, vijana wanasema huna mba mba mba..![]()
🤣🤣Usifanye hivyo ma mkwe, utatuua kwa presha ujue..Mwanao mda si mrefu nambwaga...ye mwenyewe mizinguo tu
Mume chenga,ba mkwe chenga...
Sent using Jamii Forums mobile app
Usifanye hivyo ma mkwe, utatuua kwa presha ujue..
Nipo nae hapa kasoma hii komenti kanyong'onyea.






Wapo wengi tu.Nauliza kwa uzuri tu.
Hivi kuna mwanamke asiyejiuza kwa sasa?
Naombeni msinifikirie vibaya.
Kaka sjapgwa tukio lolote ila siwezi kumuamn mwanamke kamwee.Wapo bana hii Generalization ni Laana, Ko hata Mama zetu na Wake zetu wa Ndoa wanajiuza unawanunua Wewe au? Umepigwa tukio Mwagilia Moyo tulia usitoe hukum ukiwa Emotional.
Kuna neno pigia mstari amesema wanawake wasasa je mama wa Pure Scientific yupo kwenye Hilo kundiIna maana hata mama yako mzazi, mama yako mdogo, dada yako/zako, shangazi yako/zako, nk nao umewajumlisha katika hili swali lako?
Hii kiboko 😀😀😀Hakuna kuna wanaojiuza rejareja(singles) na wanaojiuza jumla( walioolewa)
Hii kiboko![]()

Wewe umejiuzaje? Au umekopesha (timing to have a future with) ? Au mnacheza Upatu na mwenzio ile like toa nitoe AKA kutegemeana?Nafikir nimekopesha Tena kausha damu 😂😂😂Wewe umejiuzaje? Au umekopesha (timing to have a future with) ? Au mnacheza Upatu na mwenzio ile like toa nitoe AKA kutegemeana?