Mwanamke asiyejiuza ni yule aliyeolewa na kuhudumiwa vizuri na mumewe ,mwanamke ambaye anajistiri na kupewa stara ya ndoa .
Kwani hao uliwataja ni wanaume??,kwa hiyo Baba yako akiwa mwizi inaondoa unwell kuwa ni mwizi? au kutosema kunaondoa dhana na yeye kutokuwa mwizi.Ina maana hata mama yako mzazi, mama yako mdogo, dada yako/zako, shangazi yako/zako, nk nao umewajumlisha katika hili swali lako?
Nfano Mzuri, Mimi nimeoa Bikra kabisa Mke wa Ujana wangu. Na hakuna chembe chembe yoyote ya Uhuni tangu anakua.Umemjibu vizuri! Kuna watu wanaishi ulimwengu wa uharibifu wakidhani kila mtu anaishi ulimwengu huo! Dunia hii Mungu yupo na bado anatawala! Wanawake na wanaume waaminifu wapo tena wengi! Mabinti na vijana wenye bikra (ambao hawajanajisiwa) wako wengi tu! Inategemea familia, aina ya maisha na watu waliokuzunguka (yaani ulimwengu wako unaoishi).
Uyo ni Mke wako, Mama yako na Dada zako + Shangazi zako, Sisi wengine ni tofauat.Wanawake wa kiafrika kariba wote wanajiuza-wanatofautiana tu style ya kujiuza.Hata hao walioolewa nao wanajiuza tu maana hakuna wanachochangia katika hizo ndoa tofauti na ngono tu-maana hata akiwa naye na kipato hachanganii chochote.
Umasikini wa akili na Mali ni shida,Mwanamke wa kiafrika yeye anachojua amezaliwa ili ahudumiwe na Mwanaume huko kama sio kujiuza ni nini?
Mama yako ni mwanamke?Nauliza kwa uzuri tu.
Hivi kuna mwanamke asiyejiuza kwa sasa?
Naombeni msinifikirie vibaya.
Sahihi100%Yeyote yule anayetaka hela ili mahusiano yadumu, atakuwa kwenye kundi hilo.
nimechoshwa na tabia hii, sasa hivi ni mwendo wa nipe nikupe, hunipi sikupi hela. Utapeli umekuwa mwingi sana. Wanaanza na vocha, mara bando wanapanda kila ukimpa kesho anapandisha. Mbaya zaidi penzi hupewi. Ukija kushituka milioni imetoka na kutumbukia kwenye shimo la tewaKila ukitongozà tayari simu imepasuka kioo, bibi mgonjwa, kodi imeisha, kitambaa cha sare nk. Hii ni kujiuza 100%.
Na wewe utakua huna akili kabsaaa penzi hupewi bado unaendelea kutoa vocha na bando?nimechoshwa na tabia hii, sasa hivi ni mwendo wa nipe nikupe, hunipi sikupi hela. Utapeli umekuwa mwingi sana. Wanaanza na vocha, mara bando wanapanda kila ukimpa kesho anapandisha. Mbaya zaidi penzi hupewi. Ukija kushituka milioni imetoka na kutumbukia kwenye shimo la tewa
Usisahau kausha damu a.k.a vikobaKila ukitongozà tayari simu imepasuka kioo, bibi mgonjwa, kodi imeisha, kitambaa cha sare nk. Hii ni kujiuza 100%.
Jibu swali nililouliza. Na kama huna uwezo wa kulijibu, kaa kimya. Usiniletee porojo hapa.Kwani hao uliwataja ni wanaume??,kwa hiyo Baba yako akiwa mwizi inaondoa unwell kuwa ni mwizi? au kutosema kunaondoa dhana na yeye kutokuwa mwizi.
Kwani Malaya waliopo kila kona ya Nchi wakijiuza hawana kaka,dad,Baba zao???
tuanze na dada shangazi zako na mama yako na bibi ako na bint yako tukimaliza ndo twende kwingneNauliza kwa uzuri tu.
Hivi kuna mwanamke asiyejiuza kwa sasa?
Naombeni msinifikirie vibaya.
mtoa mada karusha grenade, kisha katoweka
Mbona mi nipo sjngle na sijawahi kujiuza?Nauliza kwa uzuri tu.
Hivi kuna mwanamke asiyejiuza kwa sasa?
Naombeni msinifikirie vibaya.