Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 28,749
- 91,825
Hilo swali ameuliza bila kushirikisha ubongo wake. Mama yake mzazi anafanya hayo mambo? kama anafanya basi ni wale wale waliozaliwa na mama wasioolewa na wanaojiuza lakini kama mama yake ni muolewa basi je, alishamnasa mama yake anajiuza? Tuanzie hapo.Umemjibu vizuri! Kuna watu wanaishi ulimwengu wa uharibifu wakidhani kila mtu anaishi ulimwengu huo! Dunia hii Mungu yupo na bado anatawala! Wanawake na wanaume waaminifu wapo tena wengi! Mabinti na vijana wenye bikra (ambao hawajanajisiwa) wako wengi tu! Inategemea familia, aina ya maisha na watu waliokuzunguka (yaani ulimwengu wako unaoishi).
Kuwaamini hapana asee hata mimi sijawahi.Kaka sjapgwa tukio lolote ila siwezi kumuamn mwanamke kamwee.
Kabla sijatoa jibu kama wapo au hawapo nieleze kwa ufupi umetumia neno "kujiuza" kumaanisha nini.Nauliza kwa uzuri tu.
Hivi kuna mwanamke asiyejiuza kwa sasa?
Naombeni msinifikirie vibaya.