[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] super women.... labda mazombieeeNa bado tutawaonyesha kila rangi mwaka huu zamani mlituita mbwa sahivi mtashindwa hata kutukategorize..[emoji23]
Fankulo kasoooNdiomana mimi nabutua mbele na nyuma tukiachana hata unisemeje ndio imetoka hivo niponipo sana ndani ya notocord muwasho utakulazimisha Baharia bado nipo sana. Va Fankulo we kisodoufufu. Kandhahari is a must
One man's trash is another man's treasure.Another one trash is another one treasure
HahahaUnakuta mwanaume hana pesa, kisirani saa zote amekunja sura, hawezi kuongea pole pole mda wote anaongea kama anapauka, sio handsome na hajui kuvaa. Mwanaume hana ata sifa moja ya kumfanya apendwe, yupo yupo tu.
Nyie wanaume mkiwa hamna pesa jitahidini kua vizuri sehem nyingine. Kua mchangamfu kwa kila mtu, kua mpole, kua msafi na ikiwezekana kua kama zoba kabisa ili upate angalau credits za kupendwa. ✍️