Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 1,617
- 3,718
Kuna wanaume wana moyo mgumu hivi unaoaje mwanamke kakuzidi urefu , mi naona kama kuna dharau fulani hivi inakuwepo , usishangae siku mke wako akukuita we dogo
Urefu unashida , kumpiga busu mpaka uchukue stuliUrefu una shida gani, asikuzidi pesa na umri tu
Urefu ni pochiKuna wanaume wana moyo mgumu hivi unaoaje mwanamke kakuzidi urefu , mi naona kama kuna dharau fulani hivi inakuwepo , usishangae siku mke wako akukuita we dogo
Ukiwa na pesa atakupigia goti ili umbusuUrefu unashida , kumpiga busu mpaka uchukue stuli
Hivi kwanini watu wafupi mnajitetea kwa hasira?😄Urefu una shida gani, asikuzidi pesa na umri tu
Kwani umetumia nini kujua kama mimi ni mrefu au mfupi? Tunachangia mada ya mtoa mada na kumtoa kwenye mtamazo wake alio naoHivi kwanini watu wafupi mnajitetea kwa hasira?😄
Na wewe unaowaje mwanamke umezidi tumbo kitambi kama mimba kumbe uroho wa kula ovyooo....umejaza mavi tuKuna wanaume wana moyo mgumu hivi unaoaje mwanamke kakuzidi urefu , mi naona kama kuna dharau fulani hivi inakuwepo , usishangae siku mke wako akukuita we dogo
Hapa tu yenyewe nimekutania lakini umeshapandisha hasira 🤣🤣Kwani umetumia nini kujua kama mimi ni mrefu au mfupi? Tunachangia mada ya mtoa mada na kumtoa kwenye mtamazo wake alio nao