Kuna wanaume wanajua kutongoza

Kuna wanaume wanajua kutongoza

Tusijidanganye bana hata dem awe na pesa vipi hawezi kuwa furaha kama kila siku yeye ndiyo mlipaji bill. Anataka kuwa na uhakika na security yake ya sasa na ya baadae labda kama mnaigiza muvi.

Kama ishu ndiyo hiyo hakuna kupoteza muda muulize terms zake kama huwezi unachapa mwendo. Haya mambo ya kuanza kuimbia kama wadosi ni upotezaji wa muda wa kufanya mambo mengine. Maisha yenyewe ya kuchezacheza hivyo yako wapi?
 
Mkuu kutongoza unaousemea wewe ni wa zamani.. Mashairi kama Amir Andanenga a.k.a sauti ya giza mpaka mtoto anaingia darasani.. Asa sasa hivi utamtongozaje mtoto kwa maneno wakati anachat na wanaume zaidi ya 20 kwenye whtsapp..?

wanaume zaidi ya 50 facebook.. anasifiwa picha zake na wanaume lukuki instagram huko na kote huko wanaume wanashindana kumtumia vocha za kuchat..?
 
Kuna njia nyingi ya kufikisha ujumbe kwa muhusika nazan nayo n mojawapo .miss chaga atakuwa amekuelewaa
 
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 33 mume wangu ana umri wa miaka 41. Sote ni wasomi na wafanyakazi. Tumefunga ndoa miaka tisa iliyopita tuna mtoto mmoja ana umri wa miaka 7.

Wakati tunafunga ndoa wote tulikua mabikra. Mimi nilikua sijawahi kuwa na mpenzi na mume wangu akuwahi kua na mpenzi. Tulianza kushiriki tendo la ndoa siku ile tulipofunga ndoa.

Kwa kweli kwa ujumla maisha yetu ya ndoa ni ya furaha. Mimi na mme wangu atujawahi kuwa mbali kikazi. Maisha yote hadi leo tuko Dar es salaam pamoja.

Tulipofunga ndoa miaka ya mwanzoni tulikua tunaweza kukuta kimwili hata mara tatu kwa mwezi, miaka ilivyokua inazidi kwenda ikawa kukutana kimwili inakua mara moja kila baada ya miezi miwili na tujikutana ni bao moja tu.

Sasa hali imezidi kua mbaya kwani sasa imepita miezi sita tuna lala kitanda kimoja mume wangu ajanigusa, hali hii inanisononesha kwani natamani mtoto wa pili. Kwakweli atuna ugomvi wowote na mume wangu, ni mcha Mungu na mchapakazi tukitoka kazini tuko wote na sio mtu anaependa kwenda kutembea bila familia.

Jumamosi na Jumapili mara nyingi tunatoka out tukirudi home akuna kinachoendelea anageuka ukutani analala kama mtoto hadi asubuhi, wala hata anigusi nikimsogelea hata astuki.

Na asubuhi tukiamka tunaenda ofisini na akifika ofisini lazima anitumie sms, mke wangu nakupenda sana. Simuelewi na nashindwa kumuuliza maana mimi kama mwanamke nona aibu.

Kwakweli mawazo ya kutoka nje ayapo kabisa kichwani mwangu maana simjui mwanaume yeyote zaidi yake na namuogopa Mungu.

Ila naona bora nitengane nae niishi maisha yangu maana bila unyumba amna maana ya ndoa na nataka sana mtoto. Wadau naomba ushauri je hii ni kawaida?
 
Back
Top Bottom