Kuna wanaume wanajua kutongoza

Kuna wanaume wanajua kutongoza

Kutongoza wapi bongo ama Durban. Kama bongo wala pesa tu zinaongea
 
kuna wale wanaotongoza kwa kukandia wanaume wenzao, hao ndo nawachukia balaa! utasikia, yule jamaa ana gono chronic achana nae.....dah wakati tuko shule miaka ile, kuna jamaa alipigwa hilo kombora kwa demu wake kilakala (kilay) alipigwa jini fastaa, jamaa akachukua mzigo
 
kweli japo inauma

Vp Umefikia Wapi Na Mzee? Mpe Papuchi Ajiachie Kijana Wa Watu,huwezi Juwa Leo Hana Pesa Kesho Akawa Milionea Mkubwa Hadi Ukajilaumu Kuwa Afadhali Ungekuwa Naye Na Mwenye Pesa Akafilisika Kabisa,maisha Haya Bana Ni Kinyonga Hayana Rangi Maalumu.
 
wiseboy,

nimpe papuchi tu ila nisimpendi haya nitafuata ushauri wako
 
Last edited by a moderator:
Kale kajamaa kanaonekana kana id's mbili niamini mimi

Mkuu Unakajua? Ila Kweli Kalipoona Kanamzimia Misschagga Kakaamua Kujitosa Kivingine,aisee Kwa Staili Ile Nina Uhakika Kanabeba Mzigo.
 
katafute hela acha kelele

We ---- Mie Pesa Ninayo Hadi Ya Kukulipa Wewe Bila Kufanya Kazi,topic Yangu Haiamanishi Sina Pesa,ila Ni Kuwarekebisha Vilaza Kama Nyie Mnaodhani Bila Pesa Huwezi Kupata Mwanamke,wakati Wanawake Ni Wengi Kama Mchanga Wa Bahari.
 
Wewe kwa akili yako kila anayetongoza anatafuta mpenzi? Wengine wanataka kung'oa mzigo kupiga na kusepa. Inategemea mtu anatafuta kitu gani.
 
Back
Top Bottom