Kuna wanaopanga maandamano ya nchi nzima kushinikiza kusiwe na uchaguzi 2020 na Magufuli aendelee kuwa Rais

Watakaoandamana kinyume ni watoto wa mafisadi na watu wa kilimanjaro, arusha na mbeya .wengine wote watakuwa nyuma Magu.
 
Mi nilijua tu haya makampuni yanayouza hisa zao kwa wasouth kwa midollar mingimingi basi fungu la hiyo midollardollar ni kuharibu utaratibu uliopo.
Nalog off
 

Hautakuwa na,maana,raha ya uongozi ni kuchaguliwa tutajuaje kama anakubalika
 

Nimewahi kusema zaidi ya mara moja humu kuwa Magufuli hawezi siasa za ushindani, hata ubunge wake karibia mara zote alikuwa anapita kwa figisu. Kwenye huu uchaguzi wa rais uko kwenye macho ya dunia sana, hivyo vinatengenezwa vikundi vya kutaka kuhadaa umma. Hofu hasa ni iwapo Lissu ataamua kugombea hasa ikizingatiwa nguvu yake kubwa ya ushawishi, huku Magufuli akiwa hana uwezo mkubwa wa ushawishi zaidi ya mabavu. Inafahamika kabisa kwenye kampeni iwapo wapinzani watapata mtu anayeweza kushawishi na kuweka ukweli hadharani atashusha imani inayolazimishwa ya Magufuli kwa wananchi, na ukizingatia Magufuli hana simile anapozidiwa hoja hutumia mabavu, kwakuwa wafuasi wake wanajua udhaifu huo ndio maana hawataki ushindani
 
Kama wataruhusu na maandamano ya kupinga asiendelee kuwepo sawa tutaingia mtaani tushindane ila police na wafia Nchi wengine na praise team wakae pembeni tushindane kwa maandamano wanaomtaka jiwe na wasiomtaka
 
Ndio katiba ya nchi inavyotaka?
 
This might be true na inawezekana aliyemponza Lissu ni bandiko hili

It's very unfortunately Lissu hawezi kugombea tena, sheria ya kugombea urais imeishabadilishwa hapa juzi kati kuwa mgombea urais lazima awe ameishi nchini kwa miezi 18 prior to tarehe ya Uchaguzi ujao. Hivyo Lissu is out.
P
 
Hizi sheria mnazibadilisha kama mnavyobadilisha mboga majumbani mwenu. Mtambue tu kuwa Watanzania si wajinga.
 
naunga mkono aendelee tu makufuli mpaka nchi ikae sawa ila uchaguzi wa wabunge uwepo
 

Ni Tanzania tu ambapo utashi na tabia binafsi za rais hugeuzwa na kuwa ndio sheria!
 
Wenzio siasa zimepitwa na wakati. Tunawaachia akina Polepole na Mbatia. Tuongee yetu ya raha zetu. Am sick about politics of Tanzania. It is all rubbush!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…