Kuna wanaopanga maandamano ya nchi nzima kushinikiza kusiwe na uchaguzi 2020 na Magufuli aendelee kuwa Rais

Watakaoandamana kinyume ni watoto wa mafisadi na watu wa kilimanjaro, arusha na mbeya .wengine wote watakuwa nyuma Magu.
 
Mi nilijua tu haya makampuni yanayouza hisa zao kwa wasouth kwa midollar mingimingi basi fungu la hiyo midollardollar ni kuharibu utaratibu uliopo.
Nalog off
 
Naunga mkono hoja, ila uchaguzi ambao usifanyike ni uchaguzi wa rais tuu, Magufuli aendelee. Lakini kwa wabunge na madiwani, uchaguzi uendelee tuu kama kawaida kama nilivyoshauri hapa

Na kwenye huo uchaguzi wa wabunge na madiwani, kwa heshima ya utendaji uliotukaka wa rais Magufuli na serikali yake ya awamu ya tano, katika uchaguzi wa wabunge na madiwani, Watanzania katika umoja wetu tutapaza sauti zetu na kuongea kwa sauti moja kupitia sanduku la kura kuwa tumemwelewa Magufuli na tunajua anataja kutupeleka wapi hivyo siku ya Uchaguzi Watanzania wote kazi ni moja tuu, "unachukua, unaweka, ..."
Malizia mwenyewe.
P

Hautakuwa na,maana,raha ya uongozi ni kuchaguliwa tutajuaje kama anakubalika
 
Naunga mkono hoja, ila uchaguzi ambao usifanyike ni uchaguzi wa rais tuu, Magufuli aendelee. Lakini kwa wabunge na madiwani, uchaguzi uendelee tuu kama kawaida kama nilivyoshauri hapa

Na kwenye huo uchaguzi wa wabunge na madiwani, kwa heshima ya utendaji uliotukaka wa rais Magufuli na serikali yake ya awamu ya tano, katika uchaguzi wa wabunge na madiwani, Watanzania katika umoja wetu tutapaza sauti zetu na kuongea kwa sauti moja kupitia sanduku la kura kuwa tumemwelewa Magufuli na tunajua anataja kutupeleka wapi hivyo siku ya Uchaguzi Watanzania wote kazi ni moja tuu, "unachukua, unaweka, ..."
Malizia mwenyewe.
P

Nimewahi kusema zaidi ya mara moja humu kuwa Magufuli hawezi siasa za ushindani, hata ubunge wake karibia mara zote alikuwa anapita kwa figisu. Kwenye huu uchaguzi wa rais uko kwenye macho ya dunia sana, hivyo vinatengenezwa vikundi vya kutaka kuhadaa umma. Hofu hasa ni iwapo Lissu ataamua kugombea hasa ikizingatiwa nguvu yake kubwa ya ushawishi, huku Magufuli akiwa hana uwezo mkubwa wa ushawishi zaidi ya mabavu. Inafahamika kabisa kwenye kampeni iwapo wapinzani watapata mtu anayeweza kushawishi na kuweka ukweli hadharani atashusha imani inayolazimishwa ya Magufuli kwa wananchi, na ukizingatia Magufuli hana simile anapozidiwa hoja hutumia mabavu, kwakuwa wafuasi wake wanajua udhaifu huo ndio maana hawataki ushindani
 
Kama wataruhusu na maandamano ya kupinga asiendelee kuwepo sawa tutaingia mtaani tushindane ila police na wafia Nchi wengine na praise team wakae pembeni tushindane kwa maandamano wanaomtaka jiwe na wasiomtaka
 
Naunga mkono hoja, ila uchaguzi ambao usifanyike ni uchaguzi wa rais tuu, Magufuli aendelee. Lakini kwa wabunge na madiwani, uchaguzi uendelee tuu kama kawaida kama nilivyoshauri hapa

Na kwenye huo uchaguzi wa wabunge na madiwani, kwa heshima ya utendaji uliotukaka wa rais Magufuli na serikali yake ya awamu ya tano, katika uchaguzi wa wabunge na madiwani, Watanzania katika umoja wetu tutapaza sauti zetu na kuongea kwa sauti moja kupitia sanduku la kura kuwa tumemwelewa Magufuli na tunajua anataja kutupeleka wapi hivyo siku ya Uchaguzi Watanzania wote kazi ni moja tuu, "unachukua, unaweka, ..."
Malizia mwenyewe.
P
Ndio katiba ya nchi inavyotaka?
 
Nimewahi kusema zaidi ya mara moja humu kuwa Magufuli hawezi siasa za ushindani, hata ubunge wake karibia mara zote alikuwa anapita kwa figisu. Kwenye huu uchaguzi wa rais uko kwenye macho ya dunia sana, hivyo vinatengenezwa vikundi vya kutaka kuhadaa umma. Hofu hasa ni iwapo Lissu ataamua kugombea hasa ikizingatiwa nguvu yake kubwa ya ushawishi, huku Magufuli akiwa hana uwezo mkubwa wa ushawishi zaidi ya mabavu. Inafahamika kabisa kwenye kampeni iwapo wapinzani watapata mtu anayeweza kushawishi na kuweka ukweli hadharani atashusha imani inayolazimishwa ya Magufuli kwa wananchi, na ukizingatia Magufuli hana simile anapozidiwa hoja hutumia mabavu, kwakuwa wafuasi wake wanajua udhaifu huo ndio maana hawataki ushindani
This might be true na inawezekana aliyemponza Lissu ni bandiko hili

It's very unfortunately Lissu hawezi kugombea tena, sheria ya kugombea urais imeishabadilishwa hapa juzi kati kuwa mgombea urais lazima awe ameishi nchini kwa miezi 18 prior to tarehe ya Uchaguzi ujao. Hivyo Lissu is out.

Hizi sheria mnazibadilisha kama mnavyobadilisha mboga majumbani mwenu. Mtambue tu kuwa Watanzania si wajinga.
 
naunga mkono aendelee tu makufuli mpaka nchi ikae sawa ila uchaguzi wa wabunge uwepo
 
This might be true na inawezekana aliyemponza Lissu ni bandiko hili

It's very unfortunately Lissu hawezi kugombea tena, sheria ya kugombea urais imeishabadilishwa hapa juzi kati kuwa mgombea urais lazima awe ameishi nchini kwa miezi 18 prior to tarehe ya Uchaguzi ujao. Hivyo Lissu is out.
P

Ni Tanzania tu ambapo utashi na tabia binafsi za rais hugeuzwa na kuwa ndio sheria!
 
Maandamano Yatakayofanyika Nchi Nzima yanakuja. najua Ndugu Mtanzania Umetega Sikio Kutaka Kufahamu ni Maandamano ya nini. Ndugu Zangu Watanzania Maandamano Yajayo Ni Maandamano Ya Kushinikiza Kutofanyika uchaguzi kwani Lengo ni Kuendeleza maendeleo kwa Gharama Kubwa ya hela Zitakazotumika Kufanya Uchaguzi Ambao Kimsingi Hauna Maana Kwani Hautabadili Matokeo Yaliyopo sasa Pili Kwenye Maandamano HayoHayo Tutakuwa na lengo La Kumuomba Rais Magufuli Akubali Ombi La Wananchi Kuendelea Kutuongoza Hata Baada ya Miaka 10 Kuisha Tutaandamana Hadi Kieleweke Maandamano yatafanyika Tanzania Nzima Naamanisha Kila Mkoa CCM OYEE MAGUFULI OYEE
+254752679213

View attachment 1219641
Wenzio siasa zimepitwa na wakati. Tunawaachia akina Polepole na Mbatia. Tuongee yetu ya raha zetu. Am sick about politics of Tanzania. It is all rubbush!!!!!!!
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom