MLA RUZUKU NO 1Kama wabunge wote wa kuchaguliwa watabaki na ubunge wao bila kupingwa na RUZUKU ikabaki palepale sioni kama Mbowe anaweza kupingana na hili!
Naunga mkono hoja, ila uchaguzi ambao usifanyike ni uchaguzi wa rais tuu, Magufuli aendelee. Lakini kwa wabunge na madiwani, uchaguzi uendelee tuu kama kawaida kama nilivyoshauri hapa
Kwa kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Wanabodi. Kwa Kasi Hii ya Rais Wetu Mpendwa, Dr. John Pombe Joseph Magufuli na Falsafa yake ya "Hapa Kazi Tu", na kama hiki tunachokiona sasa, sio nguvu ya soda tuu, yaani ataendelea kwa kasi hii hii hadi 2020, kuna haja kweli ya kufanya tena uchaguzi wa rais?. Kwa maoni yangu, uchaguzi wa...www.jamiiforums.com
Na kwenye huo uchaguzi wa wabunge na madiwani, kwa heshima ya utendaji uliotukaka wa rais Magufuli na serikali yake ya awamu ya tano, katika uchaguzi wa wabunge na madiwani, Watanzania katika umoja wetu tutapaza sauti zetu na kuongea kwa sauti moja kupitia sanduku la kura kuwa tumemwelewa Magufuli na tunajua anataja kutupeleka wapi hivyo siku ya Uchaguzi Watanzania wote kazi ni moja tuu, "unachukua, unaweka, ..."
Malizia mwenyewe.
P
Nyie watu mnajua kabisa mnachokifanya...mnadhulumu nafsi zenuItasaidia sana sioni kuwa na Uchaguzi wa Rais ni kupoteza muda tu sioni wa kushinndana na mwamba wa Africa
Naunga mkono hoja, ila uchaguzi ambao usifanyike ni uchaguzi wa rais tuu, Magufuli aendelee. Lakini kwa wabunge na madiwani, uchaguzi uendelee tuu kama kawaida kama nilivyoshauri hapa
Kwa kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Wanabodi. Kwa Kasi Hii ya Rais Wetu Mpendwa, Dr. John Pombe Joseph Magufuli na Falsafa yake ya "Hapa Kazi Tu", na kama hiki tunachokiona sasa, sio nguvu ya soda tuu, yaani ataendelea kwa kasi hii hii hadi 2020, kuna haja kweli ya kufanya tena uchaguzi wa rais?. Kwa maoni yangu, uchaguzi wa...www.jamiiforums.com
Na kwenye huo uchaguzi wa wabunge na madiwani, kwa heshima ya utendaji uliotukaka wa rais Magufuli na serikali yake ya awamu ya tano, katika uchaguzi wa wabunge na madiwani, Watanzania katika umoja wetu tutapaza sauti zetu na kuongea kwa sauti moja kupitia sanduku la kura kuwa tumemwelewa Magufuli na tunajua anataja kutupeleka wapi hivyo siku ya Uchaguzi Watanzania wote kazi ni moja tuu, "unachukua, unaweka, ..."
Malizia mwenyewe.
P
Na aruhsus maandamano ya wanaopinga maandamano hayoNa siku watu wakiandamana wakishinikiza aondoke madarakani kabla ya uchaguzi asije akakataa au wasije wakakataza
Itasaidia sana sioni kuwa na Uchaguzi wa Rais ni kupoteza muda tu sioni wa kushinndana na mwamba wa Africa
Ndio katiba ya nchi inavyotaka?Naunga mkono hoja, ila uchaguzi ambao usifanyike ni uchaguzi wa rais tuu, Magufuli aendelee. Lakini kwa wabunge na madiwani, uchaguzi uendelee tuu kama kawaida kama nilivyoshauri hapa
Kwa kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Wanabodi. Kwa Kasi Hii ya Rais Wetu Mpendwa, Dr. John Pombe Joseph Magufuli na Falsafa yake ya "Hapa Kazi Tu", na kama hiki tunachokiona sasa, sio nguvu ya soda tuu, yaani ataendelea kwa kasi hii hii hadi 2020, kuna haja kweli ya kufanya tena uchaguzi wa rais?. Kwa maoni yangu, uchaguzi wa...www.jamiiforums.com
Na kwenye huo uchaguzi wa wabunge na madiwani, kwa heshima ya utendaji uliotukaka wa rais Magufuli na serikali yake ya awamu ya tano, katika uchaguzi wa wabunge na madiwani, Watanzania katika umoja wetu tutapaza sauti zetu na kuongea kwa sauti moja kupitia sanduku la kura kuwa tumemwelewa Magufuli na tunajua anataja kutupeleka wapi hivyo siku ya Uchaguzi Watanzania wote kazi ni moja tuu, "unachukua, unaweka, ..."
Malizia mwenyewe.
P
This might be true na inawezekana aliyemponza Lissu ni bandiko hiliNimewahi kusema zaidi ya mara moja humu kuwa Magufuli hawezi siasa za ushindani, hata ubunge wake karibia mara zote alikuwa anapita kwa figisu. Kwenye huu uchaguzi wa rais uko kwenye macho ya dunia sana, hivyo vinatengenezwa vikundi vya kutaka kuhadaa umma. Hofu hasa ni iwapo Lissu ataamua kugombea hasa ikizingatiwa nguvu yake kubwa ya ushawishi, huku Magufuli akiwa hana uwezo mkubwa wa ushawishi zaidi ya mabavu. Inafahamika kabisa kwenye kampeni iwapo wapinzani watapata mtu anayeweza kushawishi na kuweka ukweli hadharani atashusha imani inayolazimishwa ya Magufuli kwa wananchi, na ukizingatia Magufuli hana simile anapozidiwa hoja hutumia mabavu, kwakuwa wafuasi wake wanajua udhaifu huo ndio maana hawataki ushindani
WrHana uwezo wa kushinda kihalali maana hajawahi kushinda kihalali.
Hizi sheria mnazibadilisha kama mnavyobadilisha mboga majumbani mwenu. Mtambue tu kuwa Watanzania si wajinga.This might be true na inawezekana aliyemponza Lissu ni bandiko hili
Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!
Wanabodi, Hili ni bandiko la swali tuu, Ili uchaguzi wa 2020 usiwe ni igizo tuu la uchaguzi, Je tumchagize na kushinikiza Tundu Lissu ndiye asimamishwe na upinzani kumkabili John P. Magufuli? kwa sababu mpaka sasa, Tundu Lissu ndie mwanasiasa pekee wa upinzani ambaye so far, ameonyesha ana...www.jamiiforums.com
It's very unfortunately Lissu hawezi kugombea tena, sheria ya kugombea urais imeishabadilishwa hapa juzi kati kuwa mgombea urais lazima awe ameishi nchini kwa miezi 18 prior to tarehe ya Uchaguzi ujao. Hivyo Lissu is out.
P
Unaushahidi Au unabwekaWr
kwa heshima ya utendaji uliotukaka
This might be true na inawezekana aliyemponza Lissu ni bandiko hili
Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!
Wanabodi, Hili ni bandiko la swali tuu, Ili uchaguzi wa 2020 usiwe ni igizo tuu la uchaguzi, Je tumchagize na kushinikiza Tundu Lissu ndiye asimamishwe na upinzani kumkabili John P. Magufuli? kwa sababu mpaka sasa, Tundu Lissu ndie mwanasiasa pekee wa upinzani ambaye so far, ameonyesha ana...www.jamiiforums.com
It's very unfortunately Lissu hawezi kugombea tena, sheria ya kugombea urais imeishabadilishwa hapa juzi kati kuwa mgombea urais lazima awe ameishi nchini kwa miezi 18 prior to tarehe ya Uchaguzi ujao. Hivyo Lissu is out.
P
Wenzio siasa zimepitwa na wakati. Tunawaachia akina Polepole na Mbatia. Tuongee yetu ya raha zetu. Am sick about politics of Tanzania. It is all rubbush!!!!!!!Maandamano Yatakayofanyika Nchi Nzima yanakuja. najua Ndugu Mtanzania Umetega Sikio Kutaka Kufahamu ni Maandamano ya nini. Ndugu Zangu Watanzania Maandamano Yajayo Ni Maandamano Ya Kushinikiza Kutofanyika uchaguzi kwani Lengo ni Kuendeleza maendeleo kwa Gharama Kubwa ya hela Zitakazotumika Kufanya Uchaguzi Ambao Kimsingi Hauna Maana Kwani Hautabadili Matokeo Yaliyopo sasa Pili Kwenye Maandamano HayoHayo Tutakuwa na lengo La Kumuomba Rais Magufuli Akubali Ombi La Wananchi Kuendelea Kutuongoza Hata Baada ya Miaka 10 Kuisha Tutaandamana Hadi Kieleweke Maandamano yatafanyika Tanzania Nzima Naamanisha Kila Mkoa CCM OYEE MAGUFULI OYEE
+254752679213
View attachment 1219641