Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 29,515
- 42,646
Ha ha ha ha!! Viwanda vya viwavi?...
......Mkuu Viwanda Viwanda Viwanda
Ha ha ha ha!! Viwanda vya viwavi?...
......Mkuu Viwanda Viwanda Viwanda
Teh teh teh!!TZ ya viwanda inakuja,lkn karibia nusu ya makusanyo ya kodi yanatumika kulipia mishahara na posho ehehehe
Labda tutapata viwanda vya kunyonyolea kuku manyoya walahi
...TZ ya viwanda inakuja,lkn karibia nusu ya makusanyo ya kodi yanatumika kulipia mishahara na posho ehehehe
Labda tutapata viwanda vya kunyonyolea kuku manyoya walahi
Lkn akisema hivyo kuwa tutakuwa super power soon wapo hadi watu na elimu zao wanamshangiliaTeh teh teh!!
Anakwambia nchi hii kodi ikikusanywa sawasawa tunakuwa donor country!!!
Nikajiuliza hao Malaysia tu sio donor country itakua sisi?
Jamaa fikra zake Kali sana!!!
Naona fukuza fukuza imepungua sasa!...
....ha ha ha ha hataree kondoo wa sufi tuta wapiga chini
Mahlgazeti yamekosa chakuandika.... Kila siku wanazengea geti la ikulu kujua Leo anastukiza wapi....Lkn akisema hivyo kuwa tutakuwa super power soon wapo hadi watu na elimu zao wanamshangilia
Watz ni watu wa ajabu mno
Tunasubiri skandali ya bandari ya Bagamoyo!!!Naona fukuza fukuza imepungua sasa!
Hivi watz wa kawaida hii fukuza fukuza imetusaidia?Tumeanza kupata maji,umeme;na matibabu?
...Mahlgazeti yamekosa chakuandika.... Kila siku wanazengea geti la ikulu kujua Leo anastukiza wapi....
Magu kusali KKKT imekuwa headline.... Eti kastukiza ndo kichwa cha habari kikuu kwa magazeti....
Watanzania tuna IQ ndogo sana!!
Kwa wanaojua mshahara wa mkuu wa wilaya na mkoa afunguke maana Haiwezekani Dr kulia vile
Lkn hata waandishi wa habari wa TZ ndiyo wametufikisha hapa,wanaogopa sana kuwauliza maswali watawala wetuMahlgazeti yamekosa chakuandika.... Kila siku wanazengea geti la ikulu kujua Leo anastukiza wapi....
Magu kusali KKKT imekuwa headline.... Eti kastukiza ndo kichwa cha habari kikuu kwa magazeti....
Watanzania tuna IQ ndogo sana!!
Tunasubiri DC Kyela amfukuze kwenye teuzi hizi mpya sababu kashindwa dhibiti kipindupindu wkt serikali haijapeleka pesa za chlorine ili maji yawe treated!Tunasubiri skandali ya bandari ya Bagamoyo!!!
Huwa nawaza tu kichwa hiki ndo kitatupeleka kwenye Tanzania ya viwanda?Tunasubiri DC Kyela amfukuze kwenye teuzi hizi mpya sababu kashindwa dhibiti kipindupindu wkt serikali haijapeleka pesa za chlorine ili maji yawe treated!
Yale yale ya kumfukuza kazi Dr Rutengwe sababu ya mapigano ya Mvomero wkt tatizo la ugomvi wa wafugaji na wakulima ni suala la kusera linalopaswa luanzie kwa Waziri Mwigulu
Kweli Rais tunae
Serikali yake tu kuu nilipo isikiliza nikajua HAPO hamna kitu!Ukiichunguza serikali yake ni watu wale wale waliotufikisha hapa ktk umaskini huu!Huwa nawaza tu kichwa hiki ndo kitatupeleka kwenye Tanzania ya viwanda?
Dogo huko NIDA pamenuka? Naona hata tendo la ndoa hutendewi tena!Teh teh teh!!
Anakwambia nchi hii kodi ikikusanywa sawasawa tunakuwa donor country!!!
Nikajiuliza hao Malaysia tu sio donor country itakua sisi?
Jamaa fikra zake Kali sana!!!
Naona fukuza fukuza imepungua sasa!
Hivi watz wa kawaida hii fukuza fukuza imetusaidia?Tumeanza kupata maji,umeme;na matibabu?
Ujinga ni tusi?
Aliye paswa kufukuzwa kazi ni RC Bendera(Manyara)sababu ni yy aliyekaa Morogoro kwa muda mrefu na haya mapigano ya wakulima na wafugaji ni zao la serikali kuu la kishindwa kisera!Ukipewa kazi ukashindwa au ukawa mbadhirifu kwanin usifukuzwe? Hao mafisadi na wanaoshindwa kazi Wewe ulitaka wabakishwe? Kwanin?
[emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102]Zipo habari anakuja kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni.