MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,252
- 8,003
Kufuatia maneno ya Rais kwamba ameamua kuwaacha ili awapime kuna wakuu wa wilaya wanateseka sana, wanatia huruma, wamejawa hofu ya kukosa pa kuanzia kimaisha! Wengine wanapiga picha wamebeba mabox vichwani, wengine wanapiga picha wamevaa mabuti wako shamba!
Asante Dr Rutengwe kuusema ukweli wa ugumu waaisha mtaani, sasa ndio tumeshajua ni kwanini wakuu hawa wa wilaya wanateseka.
Asante Dr Rutengwe kuusema ukweli wa ugumu waaisha mtaani, sasa ndio tumeshajua ni kwanini wakuu hawa wa wilaya wanateseka.