ELI COHEN
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 9,375
- 28,482
Acha uvivu, acha ushirikina.
Mbinu zinazoonekana na halisia ndio hutatua matatizo au changamoto.
Wekeza katika fikra halisia na sio za kufikirika.
Biashara ni mtaji sio kuchinja kuku.
Kupanda cheo ni bidii au kupendelewa sio kuchinja mbuzi.
Hakuna cha nyota kuchukuliwa wala sijui kufifia, kama umezaliwa kapuku au fikra finyu tegemea kufa kapuku labda uende outside of the box kuvunja matrix ilio kushikiria na sio kwenda kuchanjwa kwa mganga.
Mzungu kwenda mwezini ni jitihada zilizofanyika miongo na miongo ila wewe unataka ufuge majini ya pesa utajirike kama mkinga ndani ya miaka 2😁